Majiji 5 kwa Uzuri Tanzania

Dar es salaam
 
Kwahiyo mwanza ina watu laki 378.... hivi jamani sensa ya 2012 inawezaje kutumika 2021??
 
Hii List bila jiji la Tanga ni utopolo, Hakuna mji umepangwa ukapangika vema kama Tanga.
 
Eti mbeya ya zaman na ya sasa hahaa
Kwan kuna majiji gani yaliyo ya zaman na sio ya sasa
Unavyo ongea utadhania utafikiria majiji mengije ni ya zaman na mbeya ni ya kisasa
Dual carriage my foot serikali haiwez jenga huu mradi kwenye kjj cha mbeya
Wewe ndio unaongea kizembe unaporefer Mbeya as if Mbeya is stagnant na kwamba huko kwenu ndio kunaendelea peke yake,utabaki na hayo hayo mawzo ya zamani wenzio tunachanja mbuga.
 
Yan Mwanza Ni ya Tano kwa umaskini Tanzania Halafu hiwe nzuri [emoji23][emoji23] na Moshi utasemaje Ambayo hipo kilimanjaro[emoji23]View attachment 1819014
Mkuu huo ni umaskini na unapimwa wajuavyo wao.
Swali tu: Hivi kwa unavyo fikira Njombe ni Tajiri kuizidi Mwanza?
Assignment: Fika Njombe then fika Mwanza uone maisha yalivyo kati ya mikoa hiyo miwili harafu Comment
 
Source gan nyingine unayotaka
Huyo ni govener wa bank na hapo ni juzi tu kipnd rais samia anazindua BOT mwanza
Hiyo bank haina link kwamba aweke hiyo taarifa tusome? Taarifa ya mdomo tunaiamini vipi bila kuwepo kwenye maandishi? Huoni anadanganya? Maana haipo kwenye tovuti yao wala kwenye tovuti ya NBS,kiufupi ni ya kujitungia ili kuwafariji nyie na kupiga siasa ya kumpamba Mama.
 
Mkuu huo ni umaskini na unapimwa wajuavyo wao.
Swali tu: Hivi kwa unavyo fikira Njombe ni Tajiri kuizidi Mwanza?
Assignment: Fika Njombe then fika Mwanza uone maisha yalivyo kati ya mikoa hiyo miwili harafu Comment
Kipimo cha umaskini sio macho yako bali mali mnayozalisha gawanya na idadi ya watu,kiufupi ni kwamba Mwanza mnamiliki maskini wengi kuliko Njombe,umeelewa? This goes even kwenye huduma za jamii.Ukichukua wastani wa huduma za jamii kwa Njombe against population kati ya haya maeneo mawili unakuta Njombe iko vizuri kuliko Mwanza,nyie huko kuna msongamano hadi sio vizuri which accelerates poverty
 
Kwahiyo mwanza ina watu laki 378.... hivi jamani sensa ya 2012 inawezaje kutumika 2021??
Sensa yenyewe hiyo ilikuwa magumashi. Mimi nyumbani kwangu hatukuhesabiwa, ila tumetoka nje tunakuta getini pana alama ya kuhesabiwa. Upuuzi mtupu ktumia hawa walimu.
 
Umetumia vigezo gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…