Majiji 5 kwa Uzuri Tanzania

Majiji 5 kwa Uzuri Tanzania

Toa sasa unaniambia mimi nikusaidie nini sasa?
Nikusaidie kuteseka zaidi, make unatesekaga sana maendeleo ya Rocky city.
Hilo hapo sio daraja lenyewe, bali ni daraja kusaidia kujengwa daraja refu zaidi Afrika mashariki na kati.
images-4.jpg
 
Ukitoka nje ya Tanzania ndio utajua Tanzania hakuna jiji!!! Eti Tanga ni jiji!??? Shame!!! Eti Dodoma ni jiji !?? Pathetic!? Vichekeshioooo
 
Ukitoka nje ya Tanzania ndio utajua Tanzania hakuna jiji!!! Eti Tanga ni jiji!??? Shame!!! Eti Dodoma ni jiji !?? Pathetic!? Vichekeshioooo
Kila kizuri kina kizuri na kila kibaya kina kibaya.
"Watanzania Tupende vya Kwetu"
~Late Magufuli Said
 
Hii hapa ni orodha ya Miji mizuri Tanzania.
1-Dar es Salaam (Mzizima)
Eneo la mkoa ni jiji la Dar es Salaam ambalo ndilo kitovu cha shughuli za biashara (na za utawala, kwa kiasi fulani) nchini Tanzania, na ni kati ya majiji yanayokua haraka zaidi duniani.

Ni km² 1,
Mbeya hapana. Weka Tabora!
 
Hii haina uhalisia hapo ungeweka Mimi mizuri kwa asili na sio hizo man made materials kuna miji kiasili inavutia kama mwanza,arusha,Kilimanjaro....
zanzibar kama sehemu ya jamhuri ya muungano wa Tanzania lipo nafasi ya ngapi?
 
Back
Top Bottom