Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Basi haikuwa na maana tafuta majiji matano bora katika majiji sita...Hapana Tanzania tuna majiji 6 tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi haikuwa na maana tafuta majiji matano bora katika majiji sita...Hapana Tanzania tuna majiji 6 tu.
Arusha haijaipita Mbeya kiuchumi.Kama ni muzuri wa mandari
1. Arusha
2. Mbeya
3. Dar es Salaam
4. Mwanza
5. Tanga
6. Dodoma
Kwa uchumi
1. Dar es Salaam
2. Mwanza
3.Arusha
4.Mbeya
5 Dodoma
6 Tanga
Kama Tanga na Mbeya kua jiji hushangai??Kwani Iringa nalo jiji?
Ungemalizia yote sita ili tujue Tanga ndo limeshikilia mkiaHapo hata yangekuwa 5.
Kitu ambacho kingefanyika ni kuyapanga hayo kuwa jiji lipi linafuata na lipi litafuata.
Wengine tumejua ulitaka kutuambia Tanga ndio jiji la hovyo kuliko yote... hahahaaaKwa sababu ni Top5 ya majiji hiyo ndio sababu ya Tanga kukosa hapo
Yes, kimapato kwa mujibu wa takwimuHivyo Mbeya inaizidi Arusha unamaanisha
Ikitoka Mbeya Namba 5 itasimama nini
Kumbe Iringa jiji hata hatuambizaniBora aweke Iringa