Weka basi kapicha ka huo uzuri . 2014 bado mlikuwa mnadanganywa!!. Du!. Halafu leo jiji zuri, lakini halina barabara, kwa kuwa n abarabara moja. Bado unatetea ni mji mzuri, unamaendeleo. Siku zote watu wa Mbeya ni conservative. hamtaki kuona kwingine namnaamini mnachojua ninyi ndicho ruler, lakini mko nyuma sana. Kisa ni ubaguzi, ukabila, majungu na fitina kwa wageni.
Majungu si mtaji. Afadhali umesema mwenyewe hadi 2014 mlikuwa mnadanganywa kwa sababu ya kukosa kujifunza kwa wengine. Mbeya, kijiji cha ajabu!. Uyole hadi mafiat. Barabara moja kama viazi vya uporoto.