Majiji 5 kwa Uzuri Tanzania

Majiji 5 kwa Uzuri Tanzania

Hiyo bank haina link kwamba aweke hiyo taarifa tusome? Taarifa ya mdomo tunaiamini vipi bila kuwepo kwenye maandishi? Huoni anadanganya? Maana haipo kwenye tovuti yao wala kwenye tovuti ya NBS,kiufupi ni ya kujitungia ili kuwafariji nyie na kupiga siasa ya kumpamba Mama.
We jamaa unafurahisha sana 😀😀
 
Kipimo cha umaskini sio macho yako bali mali mnayozalisha gawanya na idadi ya watu,kiufupi ni kwamba Mwanza mnamiliki maskini wengi kuliko Njombe,umeelewa? This goes even kwenye huduma za jamii.Ukichukua wastani wa huduma za jamii kwa Njombe against population kati ya haya maeneo mawili unakuta Njombe iko vizuri kuliko Mwanza,nyie huko kuna msongamano hadi sio vizuri which accelerates poverty
Hahaaa
Huo wastani umeupimaje aiseee
Utahama mikoa sana kuiponda mwanza ila mwsho wa siku utajikuna mwenywe
 
Weka basi kapicha ka huo uzuri . 2014 bado mlikuwa mnadanganywa!!. Du!. Halafu leo jiji zuri, lakini halina barabara, kwa kuwa n abarabara moja. Bado unatetea ni mji mzuri, unamaendeleo. Siku zote watu wa Mbeya ni conservative. hamtaki kuona kwingine namnaamini mnachojua ninyi ndicho ruler, lakini mko nyuma sana. Kisa ni ubaguzi, ukabila, majungu na fitina kwa wageni.

Majungu si mtaji. Afadhali umesema mwenyewe hadi 2014 mlikuwa mnadanganywa kwa sababu ya kukosa kujifunza kwa wengine. Mbeya, kijiji cha ajabu!. Uyole hadi mafiat. Barabara moja kama viazi vya uporoto.
Misimamo ndio utambulisho wa binadamu endelea kuabudu uwezeshwaji mbeya depends on itself.Wageni wapo kibao na ni viongozi au suala la kujimudu kwenye kilimo linakukera?!
 
Yani wingi wa maghorofa ndio kigezo Cha mji kuwa mzuri[emoji3][emoji3][emoji3] wanyakyusa mbona ushamba.

Lete facts za city plan.

Sewage stystem
Water service
Fire service
Road network mitaani
Security system mitaani

Sehemu za kuishi yamejaa maduka, machinga kila sehemu, Majumba yamejengwa hovyo full uswazi. Nyumba hazijaungwa na sewage system. Halafu unakuja na sababu ya wingi wa maghorofa. That's pointless to profit your argument.

Miji mingi TANZANIA ni garbage. Narudia Tena tembeeni walau Maputo Mozambique
Sio wasafwa tena?dah kumbe bifu lenu ni wanyakyusa!awamu iliyopita imetengeneza tanzania yenye watu wenye roho za ajabu sana.
 
Misimamo ndio utambulisho wa binadamu endelea kuabudu uwezeshwaji mbeya depends on itself.Wageni wapo kibao na ni viongozi au suala la kujimudu kwenye kilimo linakukera?!
Agenda hapa ni uzuri wa mji. Wawekezaji ni akina nani? Mbeya ni nchi? Hili ndilo unathibitisha ubaguzi,ukabila na uozo wenu. Nenda kwenye hoja. Uziri wa mji!
 
Tatizo huko Dar kuna sehemu unapita kunanuka mizoga. Unajiuliza karne hii tunashindwa kusimamia hilo?
Kuna wakati wakati wa utawala wa Rais Mwinyi Michael Jackson(+) aliziba pua sikumbuki vizuri ilikua Kariakoo au wapi.

Watu wakasema dharau! Hata sasa mi wa mikoani nkija Dar kuna sehemu nyingi naziba pua.

Kuna viongozi na watendaji kuanzia mtaa hadi mkuu wa mkoa lakini sijui nao wanaziba pua?
 
Majiji yetu usafi ni kisanga sana
 
😄😄 Wadau wanasema mbeya itolewe kwenye orodha.
Anti Mwanza, anti kanda ya ziwa umetia timu🤣🤣🤣
Kila eneo lina watu walio omba litolewe
 
Back
Top Bottom