Majiji 5 kwa Uzuri Tanzania

Eti lift ya kwanza 2014 Mbeya 😲 Mimi ktk jengo la Nasaco Tanga, lift nili ipanda nipo mdogo 1985 na palikua na Restaurant kali sana inayoitwa Chines 😊 Mbeya hamna kitu bhanaa haitaiweje japo ni mji wenye mazao mengi lkn haupo kimpangilio kbs na hapa eleweki vilevile, barabara highway ni moja tu hio ya kwenda Tunduma lkn kwingine duh km kime sizi kwa nyumba za tope za vidirisha vidogooπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mkuu jengo hilo lipo Tanga? Maana linataka kufanana na jengo fulani huko Mbeya.
 
Wale wasafwa sjui pale mjini ni wabishi nani washamba balaa, wanapingana na wanyakyusa wenye zarau zakijinga km wahaya πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Morogoro ni pazuri ukipasikia huku mitandaoni,hali iliyonifanya nipambane kwa hali na mali kuhamia Morogoro miaka miwili iliyopita.Kwa sasa naweza sema morogoro ni ya kishamba sana..haivutii kama mji,naamini wilaya ya Kahama ni nzuri kuliko moro.
 
Sikubaliani na hili unless # 3 iwe # 2
katika misingi ipi Mwanza anaizidi Arusha?
 
Kwann unasema hvyo, japo sijawahi kuishi moro zaidi ya kupita tu na one day trips na kurudi dar.

Tupe experiences tuachane na comments za JF.
 
Sikubaliani na hili unless # 3 iwe # 2
katika misingi ipi Mwanza anaizidi Arusha?
Unataka kuniaminisha kua Arusha inazidi Mwanza? Ngoja na wengine waweke neno hapa.
 
Kwann unasema hvyo, japo sijawahi kuishi moro zaidi ya kupita tu na one day trips na kurudi dar.

Tupe experiences tuachane na comments za JF.
Naona amepotea amekataa kuja kushea experience.
 
Mtoa post nahisi kwa ufahamu wake uzuri wa mji Ni ghorofa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…