Majiji 5 kwa Uzuri Tanzania

Majiji 5 kwa Uzuri Tanzania

Eti lift ya kwanza 2014 Mbeya 😲 Mimi ktk jengo la Nasaco Tanga, lift nili ipanda nipo mdogo 1985 na palikua na Restaurant kali sana inayoitwa Chines 😊 Mbeya hamna kitu bhanaa haitaiweje japo ni mji wenye mazao mengi lkn haupo kimpangilio kbs na hapa eleweki vilevile, barabara highway ni moja tu hio ya kwenda Tunduma lkn kwingine duh km kime sizi kwa nyumba za tope za vidirisha vidogoo😂😂😂😂😂

BILD0375.JPG
 
View attachment 2054156
Mkuu jengo hilo lipo Tanga? Maana linataka kufanana na jengo fulani huko Mbeya.
 
Weka basi kapicha ka huo uzuri . 2014 bado mlikuwa mnadanganywa!!. Du!. Halafu leo jiji zuri, lakini halina barabara, kwa kuwa n abarabara moja. Bado unatetea ni mji mzuri, unamaendeleo. Siku zote watu wa Mbeya ni conservative. hamtaki kuona kwingine namnaamini mnachojua ninyi ndicho ruler, lakini mko nyuma sana. Kisa ni ubaguzi, ukabila, majungu na fitina kwa wageni.

Majungu si mtaji. Afadhali umesema mwenyewe hadi 2014 mlikuwa mnadanganywa kwa sababu ya kukosa kujifunza kwa wengine. Mbeya, kijiji cha ajabu!. Uyole hadi mafiat. Barabara moja kama viazi vya uporoto.
Wale wasafwa sjui pale mjini ni wabishi nani washamba balaa, wanapingana na wanyakyusa wenye zarau zakijinga km wahaya 😂😂😂
 
Morogoro ni pazuri ukipasikia huku mitandaoni,hali iliyonifanya nipambane kwa hali na mali kuhamia Morogoro miaka miwili iliyopita.Kwa sasa naweza sema morogoro ni ya kishamba sana..haivutii kama mji,naamini wilaya ya Kahama ni nzuri kuliko moro.
 
3-Arusha (A city)
Arusha ni jiji la kaskazini mwa Tanzania na makao makuu ya Mkoa wa Arusha. Kiutawala eneo la jiji la Arusha ni sawa na eneo la Wilaya ya Arusha Mjini. Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 416,442
Sikubaliani na hili unless # 3 iwe # 2
katika misingi ipi Mwanza anaizidi Arusha?
 
Morogoro ni pazuri ukipasikia huku mitandaoni,hali iliyonifanya nipambane kwa hali na mali kuhamia Morogoro miaka miwili iliyopita.Kwa sasa naweza sema morogoro ni ya kishamba sana..haivutii kama mji,naamini wilaya ya Kahama ni nzuri kuliko moro.
Kwann unasema hvyo, japo sijawahi kuishi moro zaidi ya kupita tu na one day trips na kurudi dar.

Tupe experiences tuachane na comments za JF.
 
Sikubaliani na hili unless # 3 iwe # 2
katika misingi ipi Mwanza anaizidi Arusha?
Unataka kuniaminisha kua Arusha inazidi Mwanza? Ngoja na wengine waweke neno hapa.
 
Kwann unasema hvyo, japo sijawahi kuishi moro zaidi ya kupita tu na one day trips na kurudi dar.

Tupe experiences tuachane na comments za JF.
Naona amepotea amekataa kuja kushea experience.
 
Mtoa post nahisi kwa ufahamu wake uzuri wa mji Ni ghorofa.
 
Back
Top Bottom