Majiji 5 kwa Uzuri Tanzania

Sasa hicho ulichoandika kinalingana na Mada tajwa ?
 
Port City(Tanga na Dar).Bila majiji haya,ambayo yana Bandari,ingekuwa ngumu kimaendeleo.Huwezi kupata mafuta ya magari na mitambo(viwanda),na kusafirisha na kupokea bidhaa,bila kupitia majiji yenye Bandari.

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
We jamaa naona umekazania port city,kwani kati ya Nairobi na Mombasa lipi ni jiji kubwa!!! Mbona Nairobi ambayo sio port city imeiacha mbali Mombasa!! Sijakuelewa kabisa
 
Ukitaka kujua Tz hakuna jiji zuri hata moja ila kuna mikoa yenye mataa mengi tu ya barabarani na nyomi ya watu wengi iangalie dar maeneo mengi yalivyokaa hovyo bila mpangilio ndo maana jinsi mikoa mingi inavyozidi kuwekewa taa za barabarani hayo majiji yanaonekana hayana hadhi maana yanafanana na mikoa midogo hapo zamani tofauti ilikua n mataa tu
 
Shukurani mkuu kwa maelezo hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…