DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,983
- 11,857
Hizi ni stress za twente twente faivuDar es Salaam ina uzuri gani kaka? Au sababu ina gorofa nyingi? Hapo umechemsha
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi ni stress za twente twente faivuDar es Salaam ina uzuri gani kaka? Au sababu ina gorofa nyingi? Hapo umechemsha
sisi akina mwinika zeze kwetu sio jiji?Hii hapa ni orodha ya Miji mizuri Tanzania.
1-Dar es Salaam (Mzizima)
Eneo la mkoa ni jiji la Dar es Salaam ambalo ndilo kitovu cha shughuli za biashara (na za utawala, kwa kiasi fulani) nchini Tanzania, na ni kati ya majiji yanayokua haraka zaidi duniani.
Ni km² 1,800 pamoja na visiwa vidogo 8 na eneo la bahari kati ya pwani na visiwa hivi. Eneo la nchi kavu pekee ni km² 1,393.
Kuna wilaya tano: Kinondoni (wakazi 1,775,049), Ilala (wakazi 1,220,611) na Temeke (wakazi 1,368,881) ambazo zimeongezewa Kigamboni na Ubungo. Kila moja inaangaliwa kama mji. Takwimu hizi ni za mwaka 2012, kwa ujumla idadi ya wakazi ilikuwa 4,364,541.
Wakazi asili wa eneo la mkoa walikuwa Wazaramo pamoja na makabila madogo kama vile Wandengereko na Wakwere. Kutokana na kukua na kupanuka kwa jiji kuna makabila yote ya Tanzania.
2-Mwanza (Rocky city)
Jiji la Mwanza ni mji nchini Tanzania ambao ni makao makuu ya Mkoa wa Mwanza. Mji upo kando la ziwa Viktoria Nyanza Kulingana na sensa ya mwaka 2002 idadi ya wakazi wake ilihesabiwa kuwa 378,327 (ukijumlisha wakazi wa Wilaya ya Nyamagana na sehemu za Wilaya ya Ilemela).
3-Arusha (A city)
Arusha ni jiji la kaskazini mwa Tanzania na makao makuu ya Mkoa wa Arusha. Kiutawala eneo la jiji la Arusha ni sawa na eneo la Wilaya ya Arusha Mjini. Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 416,442
4-Dodoma (Idodomya)
Ilitangazwa kuwa mji mkuu wa Tanzania mwaka 1973, lakini mnamo tarehe 26 Aprili 2018 katika maadhimisho ya miaka 54 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar, rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa awamu ya tano John Magufuli aliupandisha hadhi na kutangaza rasmi kuwa Dodoma ni Jiji. Serikali ya awamu ya tano ilihamia rasmi jijini Dodoma mwaka 2016.
Jiji hili pia ni makao makuu ya Mkoa wa Dodoma na eneo lake linahesabiwa kama Wilaya ya Dodoma .
Eneo la mji liko mita 1135 juu ya usawa wa bahari UB. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, mji wa Dodoma ulikuwa na wakazi wapatao 410,956 waishio humo.
5-Mbeya (Green city)
Mbeya ni mji wa nne kwa ukubwa nchini Tanzania. Idadi ya wakazi imehesabiwa kuwa 385,279 katika sensa ya mwaka 2012. Wengine 300,000 hivi wanaishi katika mazingira karibu na Mbeya mjini.
Kiasili Mbeya ilikuwa eneo la Wasafwa. Siku hizi sehemu kubwa ya wakazi wanaweza kuwa mchanganyiko wa Wasafwa pamoja na makabila ya Wanyakyusa kutoka wilaya za Rungwe na Kyela, Wanyiha kutoka Mbozi, Wandali kutoka Ileje na Wakinga kutoka Makete.
Tazama zaidi video ya mandhari ya majiji hayo.
mbeya sio ya hovyoMkuu japo Mbeya ya hovyo ila huwezi linganisha na Tanga
Kwa sasa kuna changamoto kdg hasa miundombinu kama vile barabara na majengo. Nafikiri kuna haja ya mamlaka husika kufanya uboreshaji zaidi ili mji uvutie zaidi kama ilivyokua mwanzo..Kwann unasema hvyo, japo sijawahi kuishi moro zaidi ya kupita tu na one day trips na kurudi dar.
Tupe experiences tuachane na comments za JF.
Sawa tumekusikia tutafika Tanga.Maisha ya mtandaoni tofauti na uhalisia watu wapo fake Sana kila kitu ila ukweli Tanga City ni mji mzuri Sana mgeni ukija utapenda kuishi bandari sahiv inafanya kazi masaa yote inapokea meli kubwa zaidi tofauti na miaka ya nyuma watu wameongezeka Sana .tanga kuna fursa nyingi sana hasa za viwandani .Siipi sifa tanga zisozostahili ila nawakaribisha Sana muje muone Jiji ambalo lina barabara zinazounganisha mitaa yote mjini kwa kiwango cha lami na taa za barabarni hakuna jiji lenye sifa hii pia huduma ya maji safi tanga City hakuna jiji linalofikia huduma kma sewage system tanga ni kubwa hii toka mjerumani na nyengine zimeboreshwa .Tanga kuna ongezeko kubwa la watu tofauti na awali pia halmashauri ya Jiji la tanga imeibuka kidedea kwenye ukusanyaji mapato Tanzania mwezi ulopita wa pili walipewa tuzo hiyo ,pia ni jiji ambalo limepangiliwa vizuri kuliko majiji yote Tanzania kimiundombinu .mzunguko wa pesa Tanga umeongezeka Sana tofauti na awali kama ulifika tanga miaka ya nyuma kuanzia 2020 au 2019 sikupindi kuiponda kuhusu mzunguko wa pesa .. Karibuni Tanga City muone uhalisia msidanganyane mitandaoni ukija ukae ufanye survey mwenyewe nina uhakika utaelewa nini nilimasnisha alafu hayo magofu ya mjerumani yamepigwa service yote hadi reli inafanya kazi kubeba mizigo . Narudia tena Tanga hakuna magofu tena kama mwanzo halmashauri ina watu makini sahivi na wazalendo kwa ambao hamkuja muda mrefu mkija mtashangaa Sana . Viwanda vya saruji vinazidi ongezeka kama Huaxin popote Tanzania hawa wachina unapata bidhaa zao ukienda pale kiwandani mwao utakuta magari makubwa zaidi ya 200 kila siku yanatoa mizigo mikubwa mno kutoka nchi mbali mbali Bandari ya Tanga inazidi kufanyiwa marekebisho ya hali ya juu sana vitendea kazi vimeongezwa na bandari kupanuliwa Tanga ndiyo Jiji ambalo limepanga hadi maeneo yapi ya viwanda na maeneo yapi ya makazi huwezi jenga hovyo hovyo mjini kati kulikuwa na nyumba za hovyo sahiv wameuza wenyeji wamepisha wawekezaji hakuna nyumba za makuti tena .watu wanauza kwa mamilioni wanaruhusu wawekezaji wapya .Hakuna Jiji lenye miundombinu bora ya majitaka na maji safi ambayo mtumiaji huweza kunywa moja kwa moja bila kuchemsha pia huduma ambayo inamuwezesha kila mtu kupata huduma kwa wakati barabara kila hatua kadhaa Tanga hakutakuja tokea foleni Tanga kuna sehemu kuna lami hata hazitumiki vituo vya afya vimeongezwa Sana Pongezi kwa halmashauri ya Jiji na Mheshimiwa Ummy hakika amesaidia Sana Tanga City. Tanga hakuna magorafa mengi wala makubwa sana kama DSM ila ina miundombinu mizuri na bora Sana Karibuni muone uhalisia ulivyo msipotoshwe jamani
Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 2139742View attachment 2139744View attachment 2139743View attachment 2139745
Asante Mkuu kwa nyongeza natumaini wadau wataona fursa katika jiji hilo la Tanga.Maisha ya mtandaoni tofauti na uhalisia watu wapo fake Sana kila kitu ila ukweli Tanga City ni mji mzuri Sana mgeni ukija utapenda kuishi bandari sahiv inafanya kazi masaa yote inapokea meli kubwa zaidi tofauti na miaka ya nyuma watu wameongezeka Sana .tanga kuna fursa nyingi sana hasa za viwandani .Siipi sifa tanga zisozostahili ila nawakaribisha Sana muje muone Jiji ambalo lina barabara zinazounganisha mitaa yote mjini kwa kiwango cha lami na taa za barabarni hakuna jiji lenye sifa hii pia huduma ya maji safi tanga City hakuna jiji linalofikia huduma kma sewage system tanga ni kubwa hii toka mjerumani na nyengine zimeboreshwa .Tanga kuna ongezeko kubwa la watu tofauti na awali pia halmashauri ya Jiji la tanga imeibuka kidedea kwenye ukusanyaji mapato Tanzania mwezi ulopita wa pili walipewa tuzo hiyo ,pia ni jiji ambalo limepangiliwa vizuri kuliko majiji yote Tanzania kimiundombinu .mzunguko wa pesa Tanga umeongezeka Sana tofauti na awali kama ulifika tanga miaka ya nyuma kuanzia 2020 au 2019 sikupindi kuiponda kuhusu mzunguko wa pesa .. Karibuni Tanga City muone uhalisia msidanganyane mitandaoni ukija ukae ufanye survey mwenyewe nina uhakika utaelewa nini nilimasnisha alafu hayo magofu ya mjerumani yamepigwa service yote hadi reli inafanya kazi kubeba mizigo . Narudia tena Tanga hakuna magofu tena kama mwanzo halmashauri ina watu makini sahivi na wazalendo kwa ambao hamkuja muda mrefu mkija mtashangaa Sana . Viwanda vya saruji vinazidi ongezeka kama Huaxin popote Tanzania hawa wachina unapata bidhaa zao ukienda pale kiwandani mwao utakuta magari makubwa zaidi ya 200 kila siku yanatoa mizigo mikubwa mno kutoka nchi mbali mbali Bandari ya Tanga inazidi kufanyiwa marekebisho ya hali ya juu sana vitendea kazi vimeongezwa na bandari kupanuliwa Tanga ndiyo Jiji ambalo limepanga hadi maeneo yapi ya viwanda na maeneo yapi ya makazi huwezi jenga hovyo hovyo mjini kati kulikuwa na nyumba za hovyo sahiv wameuza wenyeji wamepisha wawekezaji hakuna nyumba za makuti tena .watu wanauza kwa mamilioni wanaruhusu wawekezaji wapya .Hakuna Jiji lenye miundombinu bora ya majitaka na maji safi ambayo mtumiaji huweza kunywa moja kwa moja bila kuchemsha pia huduma ambayo inamuwezesha kila mtu kupata huduma kwa wakati barabara kila hatua kadhaa Tanga hakutakuja tokea foleni Tanga kuna sehemu kuna lami hata hazitumiki vituo vya afya vimeongezwa Sana Pongezi kwa halmashauri ya Jiji na Mheshimiwa Ummy hakika amesaidia Sana Tanga City. Tanga hakuna magorafa mengi wala makubwa sana kama DSM ila ina miundombinu mizuri na bora Sana Karibuni muone uhalisia ulivyo msipotoshwe jamani
Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 2139742View attachment 2139744View attachment 2139743View attachment 2139745
Yet you live in that shit hole? Then you are the shit itselfMiji yote ni hovyo imechafuliwa na wamachinga na miundo mbinu kama barabara za wapita njia hakuna kabisa.
This entire country is just one pile of a fucking shith0le.
Kumbe vocha zinatengeneza Tanga.Nawakumbusha Tanga City kuna kiwanda cha kutengeneza vocha za mitandao ya simu tena cha kimataifa East Africa hakuna ukanda wetu wa Africa sub Saharan nadhan kama vipo vingine basi Nigeria na South Africa pekee Tanzania kipo Tanga City
Asante kwa kutujuza kumbe Tanga mambo ni 🔥Mhandis Kipalo alisema mradi huo utaleta manufaa kwa wananchi na wafanyabiashara katika kuongeza ufanisi wa bandari kutoka tani laki saba na nusu hadi milioni tatu ambapo uwezo wa bandari utaongezeka na kufanyika haraka tofauti na mwanzoni.
Ndio mkuu tena vocha hadi za nchi za njeKumbe vocha zinatengeneza Tanga.
[emoji847]Songea jiji af mpo kimya