Majiji yafunikwa na maji Urusi na Kazakhstan baada ya mvua na theluji kuyeyuka

Majiji yafunikwa na maji Urusi na Kazakhstan baada ya mvua na theluji kuyeyuka

Salaam, Shalom!

Maelfu ya watu wanaendelea kuhamishwa baada ya maji kufurika Kwa usiku mmoja tu na kufunika maelfu ya nyumba na miundombinu katika majiji ya Orenburg, Syberia na Euros nchini Urusi na Kazakhstan.

Kwa zaidi ya miaka 100, hakujawahi Kutokea uharibifu mkubwa kiasi hicho, katika mji wa Syberia pekee, watu zaidi ya Laki Moja wanahamishia sababu nyumba zote zimefunikwa na maji.

Sababu ya mafuriko hayo, imeripotiwa kuwa ni joto linaloongezeka kwa kasi duniani likiambatana na mvua kubwa, joto Hilo liliyeyusha theluji na kuchangamana na maji ya mvua yaliyovamia miji hiyo ghafla na kusababisha majanga hayo.

Narudia Kutoa Rai kwa Watanzania wenzangu kutopuuza unabii na manabii.

Wakazi wa Bandari salama sikieni!

Karibuni 🙏

====

Authorities in Russia are warning people to evacuate affected areas as Russia’s Kurgan and Tyumen regions and swaths of northern Kazakhstan are flooded. Tens of thousands have already abandoned their homes.

Flooding is expected to peak on Monday in Kurgan, a region of 800,000 people at the confluence of the Ural Mountains and Siberia, as the Tobol River swelled with meltwater and burst its banks, rising to 6.31 metres (20.7 feet) in the main city.

Russia and neighbouring Kazakhstan have been grappling with some of the worst flooding in living memory after very large snowfalls melted swiftly amid heavy rain over land which was already waterlogged before winter.

Kurgan Governor Vadim Shumkov said there was almost a “sea” of water approaching the area and fresh rainfall was making the situation worse.

“The city of Kurgan itself will be next,” Shumkov said.

“The flow of the Tobol is accelerating. The water level in it is constantly rising,” he added, urging his countrymen to “leave the flooded areas immediately”.

However, he said some were refusing to evacuate.

More than 7,100 people were evacuated on Sunday from several hundred residential buildings that had been flooded, state news agency RIA Novosti reported, citing Russia’s Ministry of Civil Defence, Emergencies and Disaster Relief, as the waters threatened 62 settlements and 4,300 homes.

Cars move through a flooded part of a road in the city of Petropavl in northern Kazakhstan close to the border with Russia on April 14, 2024. (Photo by Evgeniy Lukyanov / AFP)

Cars move through a flooded part of a road in a city in northern Kazakhstan close to the border with Russia

The Kurgan and Tyumen regions are threatened the most by the floods, and measures are being taken to address those risks, Kremlin spokesman Dmitry Peskov said on Monday.

“Waves of large water are coming towards the Kurgan region, the Tyumen region,” he told reporters.

The latest news from around the world.Timely. Accurate. Fair.

“A lot of work has been done there, but we know that the water is treacherous, and therefore there is still a danger of flooding vast areas there.”

Water levels in the rivers of the Tyumen region could reach all-time highs, RIA reported, quoting regional Governor Aleksandr Moor as saying.

Flooding elsewhere

In Kazakhstan, where more than 108,000 have been evacuated since floods began last month, waters submerged more than 1,000 additional homes in the city of Petropavlovsk on Sunday, forcing the evacuation of more than 4,500 people.

Kazakh President Kassym-Jomart Tokayev said earlier this month that this was the country’s worst natural disaster for the last 80 years.

The Tobol, a tributary of the Irtysh, rose 23cm (9 inches) in the four hours to 6am (01:00 GMT) on Monday, regional authorities said.

Floods were also inundating homes in the Tomsk region in the southwestern part of Siberia, regional officials said on Telegram.

Almost 140 houses near the city of Tomsk, which is the regional administrative centre, were underwater on Monday and 84 people were evacuated.

Al Jazeera
Wacha wafe, ndio mungu wa Israel 🇮🇱 kaamua
 
Wacha wafe, ndio mungu wa Israel 🇮🇱 kaamua
Kama mnaambiwa kutubu mbagoma, kipigo lazima. Hata kama ni wewe, umuumbe Mwanaume Kisha ajibadili jinsi, utamchekea? Inabidi aangamie.

Lazima ijulikane yupo Mungu, tukitubu na kuacha Ujinga, anarehemu na kutusanmehe.
 
Tujaribu tafakari Kwa kina,

Ikiwa joto limeanza kuongezeka na kuyeyusha barafu huko Russia na mabara ya barafu,

Maji ya bahari yakiongezeka,

Visiwa vingi Kuna hatari ya kuzama ndani ya maji, na miji ya kando ya bahari kufunikwa, Emanueli misalaba sikia.
Ni nabii yupi aliyetoa unabii na akawa anawakejeli wanaoomba toba kwa ajili ya ile hukumu iliyo ndani ya unabii?
Nabii wa Unyakuo yeye full kejeli kwa watu waliokuwa wakiomba rehema kwa Mungu, hapo mimi nimepishana naye hapo.
 
Back
Top Bottom