Elections 2010 Majimbo 21 yatakayochukuliwa na CHADEMA kabla ya oct 31

Nakushukuru kwa mapendekezo yako kaka. Tuombe Mungu yaongezeke wenye nia nzuri na taifa letu muungane na fanya ili tujue kinachojili wengine hatuna access na kinachojiri tunajua sehemu ndogo tu na ambayo fanya keshataja.
 
Mimi huwa sihesabu vifaranga kwa kuangalia idadi ya mayai... napenda zaidi kulinda hayo mayai ili yaanguliwe yote... kwa kuhesabu vifaranga na tuna mwezi mzima wa kampeni ni ngumu sana

Cha maana ni kuendeleza kampeni ili mbunge sahihi (bila kujali chama) ashinde

point to be noted
 
Hivi kumbe Lau Masha yu taabani naye? Aliyajua haya nn ndo maana akapigania candidate wa Chadema awe disqualified ili asimame peke yake?
 
"Wanaoshabikia ccm ama ni wajinga sana au maskini sana na ni rahisi kuwa- manipulate. Mtu mjinga hawezi kuhusisha siasa za chama na maisha yake kuwa magumu. Mtu maskini sana aweza kuuza kura yake kwa t-shirt, kofia , shs 5000/=. wengine wanaoshabikia ccm ni beneficiaries wa system. wameneemeka kwa mfumo wa kifisadi na hawako tayari kuupoteza mfumo huo kwani watakula wapi Dr Slaa akichukua nchi."

Tathmini yako ni sahihi kabisa. Wengi waliomo humu jamvini na wanashabikia hao mafisadi wanaangukia ktk kundi hilo lenye highlight ya RED.
 
mimi nitasali, na ninasali, BWANA MUNGU ATUOKOE DHIDI YA FARAO NA WANAWE, MUNGU UWE NASI UWASAMBARATISHE WANAFIKI KIKWETE, NA WANAWE, KWA UPANGA WAKO MKALI UWAFUTULIE MBALI MAJANGILI ROSTAM, LOWASA, NYONI NK
 
Tathimini Mkoani Mara

Tarime CCM itarudisha jimbo sababu wapinzani, Mwera na Mwikwabe Kugawana kura za Upinzani

Rorya: Mfanyabiashara maarufu Lameck Airo "LAKAIRO" Kushinda kwa Kishindo...CCM Kidedea Rorya, jamaa ni kipenzi ingawa Elimu la Saba

Musoma Mjini wanasema Ubunge wanapeleka Mwitongo, maana Vincent Nyerere Kumbwaga Veda--CHADEMA Kubeba Musoma Mjini

Bunda CCM ya Wasira iko Imara, Tsunami kwa Tyson

Mwibara, KANGE SI BOMBA, Hali hapa ni Tete, CHADEMA KUSHINDA JIMBO LA MWIBARA..Hili Jimbo lina Historia ya Upinzani.

CCM Serengeti kwa Dr. Kebwe ni SHWARI...KIPENZI CHA WANA SERENGETI..

NJOMBE WEST: Makosa ya CCM Kumuengua Nyimbo Thomas, CHADEMA KUBEBA HILI JIMBO, NYIMBO NI KIPENZI CHA WATU.

Ubungo: Mtatiro wa CUF Kumkosesha Mnyika Ubunge, Hawa Ghumbi wa CCM Kushinda Sababu zile za Tarime: Wapinzani kugawana..note Mtatiro amepata mvuto baada ya kumshinda Mnyika kwenye mdahalo wa Vijana.

Kawe: To Close to Call.

Kigoma Kaskazini CCM kumshinda Zitto, CUF kuchukua kura za Zitto, hali si NZURI na Kurukaruka majimbo kutamcost Kabwe Zuberi Zitto.

Nyamagana: Ushindi wa wembe (mdogo0 kwa Mh. Lau Masha CCM, ila pa gumu Upinzani (CHADEMA) umeshamiri sana.

Hai: Mwenyekiti Mbowe anaweza kuishinda CCM, ila aangalia pale yeye kukosa ni Statement ambayo CCM inataka kuweka

KARATU: To Close to Call. Dr. Wilbroad Slaa Lorri wa CCM anakubalika kuliko yule Mch. wa CHADEMA..CHADEMA INA NGUVU KULIKO MTU WAO

Tathmini Yangu itaendelea:
 
Tathimini Mkoani Mara

Tarime CCM itarudisha jimbo sababu wapinzani, Mwera na Mwikwabe Kugawana kura za Upinzani

Rorya: Mfanyabiashara maarufu Lameck Airo "LAKAIRO" Kushinda kwa Kishindo...CCM Kidedea Rorya, jamaa ni kipenzi ingawa Elimu la Saba

Musoma Mjini wanasema Ubunge wanapeleka Mwitongo, maana Vincent Nyerere Kumbwaga Veda--CHADEMA Kubeba Musoma Mjini

Bunda CCM ya Wasira iko Imara, Tsunami kwa Tyson

Mwibara, KANGE SI BOMBA, Hali hapa ni Tete, CHADEMA KUSHINDA JIMBO LA MWIBARA..Hili Jimbo lina Historia ya Upinzani.

CCM Serengeti kwa Dr. Kebwe ni SHWARI...KIPENZI CHA WANA SERENGETI..

NJOMBE WEST: Makosa ya CCM Kumuengua Nyimbo Thomas, CHADEMA KUBEBA HILI JIMBO, NYIMBO NI KIPENZI CHA WATU.

Ubungo: Mtatiro wa CUF Kumkosesha Mnyika Ubunge, Hawa Ghumbi wa CCM Kushinda Sababu zile za Tarime: Wapinzani kugawana..note Mtatiro amepata mvuto baada ya kumshinda Mnyika kwenye mdahalo wa Vijana.

Kawe: To Close to Call.

Kigoma Kaskazini CCM kumshinda Zitto, CUF kuchukua kura za Zitto, hali ya Mbaya na Kurukaruka majimbo kutamcost.

Nyamagana: Ushindi wa wembe kwa Mh. Masha, ila pa gumu Upinzani umeshamiri.

Hai: Mwenyekiti Mbowe anaweza kuishinda CCM, ila aangalia pale yeye kukosa ni Statement ambayo CCM inataka kuweka

KARATU: To Close to Call. Dr. Wilbroad Slaa Lorri wa CCM anakubalika kuliko yule Mch. wa CHADEMA..CHADEMA INA NGUVU KULIKO MTU WAO

Tathmini Yangu itaendelea:

Nadhani ni vizuri kama ungepata majina sahihi ya watu unaowaongelea ndipo tungeweza kukubaliana na unachokisema. Hivi CCM ina mgombea anajulikna kwa majina ya Dr. Wilbroad Slaa Lorri kule Karatu? Katika majina uliyoyataja nakubaliana na jina la mwisho yaani "Lorri", lakini mengine umeyachakachua. Au unamwota mbunge anayemaliza kipindi chake? Kwa namna hiyo kivuli cha mbunge anayemaliza kipindi chake( Dr. Wilbroad Slaa) kinaweza kumsaidia mgombea wa CHADEMA ashinde katika Jimbo hilo kinyume na unachosema.
 
Mbona umesahau kule Monduli kwa yule jamaa mwenye Nywele Nyeupe au ni zile hela za Richmondi ndio zinakutisha!
 
Jimbo la Kilombero linaweza kuchukuliwa na CHADEMA kama watakuwa makini
 
Nadhani ni vizuri kama ungepata majina sahihi ya watu unaowaongelea ndipo tungeweza kukubaliana na unachokisema. Hivi CCM ina mgombea anajulikna kwa majina ya Dr. Wilbroad Slaa Lorri kule Karatu? Katika majina uliyoyataja nakubaliana na jina la mwisho yaani "Lorri", lakini mengine umeyachakachua. Au unamwota mbunge anayemaliza kipindi chake? Kwa namna hiyo kivuli cha mbunge anayemaliza kipindi chake( Dr. Wilbroad Slaa) kinaweza kumsaidia mgombea wa CHADEMA ashinde katika Jimbo hilo kinyume na unachosema.
Tathmini ni Tathmini, katika yote umeona hilo tu?
 
Kama sikumnukuu vibaya Msajili wa Vyama vya siasa Mh. Tendwa alisema kwa herufi kubwa kabisa kwamba: CHADEMA WATACHUKUA VITI ZAIDI YA 80. Mpo hapo!

Kinachotakiwa ni CHADEMA kujipanga vema na kuhakikisha kuwa hakuna wizi au uchakachuaji wa Matokeo kwenye majimbo waliyosimika wagombea. CHADEMA make sure that your agents(Mawakala)they neither sleep nor get bribed by the grand corrupted CCM officials on that night of 31st October,2010!

I believe The GOD Almighty shall help you to overcome all obstacles including the Tanzania Peoples Defence Forces-TPDF as revelead by Lt.Gen Shimbo last night. There is a Bible verse which says; I am quoting, ''If God is for us who can be against us''

GOD BLESS CHADEMA,GOD BLESS TANZANIA,GOD BLESS DR.SLAA.
 
Nadhani ni vizuri kama ungepata majina sahihi ya watu unaowaongelea ndipo tungeweza kukubaliana na unachokisema. Hivi CCM ina mgombea anajulikna kwa majina ya Dr. Wilbroad Slaa Lorri kule Karatu? Katika majina uliyoyataja nakubaliana na jina la mwisho yaani "Lorri", lakini mengine umeyachakachua. Au unamwota mbunge anayemaliza kipindi chake? Kwa namna hiyo kivuli cha mbunge anayemaliza kipindi chake( Dr. Wilbroad Slaa) kinaweza kumsaidia mgombea wa CHADEMA ashinde katika Jimbo hilo kinyume na unachosema.

Mgombea wa CCM anaitwa Dr. Wilbald Slaa LORRI

Hilo jina litachanganya sana wananchi. Atapata kura zingine wakidhania wanampigia mbunge wao wa zamani.
 
Back
Top Bottom