Tathimini Mkoani Mara
Tarime CCM itarudisha jimbo sababu wapinzani, Mwera na Mwikwabe Kugawana kura za Upinzani
Rorya: Mfanyabiashara maarufu Lameck Airo "LAKAIRO" Kushinda kwa Kishindo...CCM Kidedea Rorya, jamaa ni kipenzi ingawa Elimu la Saba
Musoma Mjini wanasema Ubunge wanapeleka Mwitongo, maana Vincent Nyerere Kumbwaga Veda--CHADEMA Kubeba Musoma Mjini
Bunda CCM ya Wasira iko Imara, Tsunami kwa Tyson
Mwibara, KANGE SI BOMBA, Hali hapa ni Tete, CHADEMA KUSHINDA JIMBO LA MWIBARA..Hili Jimbo lina Historia ya Upinzani.
CCM Serengeti kwa Dr. Kebwe ni SHWARI...KIPENZI CHA WANA SERENGETI..
NJOMBE WEST: Makosa ya CCM Kumuengua Nyimbo Thomas, CHADEMA KUBEBA HILI JIMBO, NYIMBO NI KIPENZI CHA WATU.
Ubungo: Mtatiro wa CUF Kumkosesha Mnyika Ubunge, Hawa Ghumbi wa CCM Kushinda Sababu zile za Tarime: Wapinzani kugawana..note Mtatiro amepata mvuto baada ya kumshinda Mnyika kwenye mdahalo wa Vijana.
Kawe: To Close to Call.
Kigoma Kaskazini CCM kumshinda Zitto, CUF kuchukua kura za Zitto, hali ya Mbaya na Kurukaruka majimbo kutamcost.
Nyamagana: Ushindi wa wembe kwa Mh. Masha, ila pa gumu Upinzani umeshamiri.
Hai: Mwenyekiti Mbowe anaweza kuishinda CCM, ila aangalia pale yeye kukosa ni Statement ambayo CCM inataka kuweka
KARATU: To Close to Call. Dr. Wilbroad Slaa Lorri wa CCM anakubalika kuliko yule Mch. wa CHADEMA..CHADEMA INA NGUVU KULIKO MTU WAO
Tathmini Yangu itaendelea: