Johnsecond
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 1,076
- 211
Mimi huwa sihesabu vifaranga kwa kuangalia idadi ya mayai... napenda zaidi kulinda hayo mayai ili yaanguliwe yote... kwa kuhesabu vifaranga na tuna mwezi mzima wa kampeni ni ngumu sana
Cha maana ni kuendeleza kampeni ili mbunge sahihi (bila kujali chama) ashinde
Tathimini Mkoani Mara
Tarime CCM itarudisha jimbo sababu wapinzani, Mwera na Mwikwabe Kugawana kura za Upinzani
Rorya: Mfanyabiashara maarufu Lameck Airo "LAKAIRO" Kushinda kwa Kishindo...CCM Kidedea Rorya, jamaa ni kipenzi ingawa Elimu la Saba
Musoma Mjini wanasema Ubunge wanapeleka Mwitongo, maana Vincent Nyerere Kumbwaga Veda--CHADEMA Kubeba Musoma Mjini
Bunda CCM ya Wasira iko Imara, Tsunami kwa Tyson
Mwibara, KANGE SI BOMBA, Hali hapa ni Tete, CHADEMA KUSHINDA JIMBO LA MWIBARA..Hili Jimbo lina Historia ya Upinzani.
CCM Serengeti kwa Dr. Kebwe ni SHWARI...KIPENZI CHA WANA SERENGETI..
NJOMBE WEST: Makosa ya CCM Kumuengua Nyimbo Thomas, CHADEMA KUBEBA HILI JIMBO, NYIMBO NI KIPENZI CHA WATU.
Ubungo: Mtatiro wa CUF Kumkosesha Mnyika Ubunge, Hawa Ghumbi wa CCM Kushinda Sababu zile za Tarime: Wapinzani kugawana..note Mtatiro amepata mvuto baada ya kumshinda Mnyika kwenye mdahalo wa Vijana.
Kawe: To Close to Call.
Kigoma Kaskazini CCM kumshinda Zitto, CUF kuchukua kura za Zitto, hali ya Mbaya na Kurukaruka majimbo kutamcost.
Nyamagana: Ushindi wa wembe kwa Mh. Masha, ila pa gumu Upinzani umeshamiri.
Hai: Mwenyekiti Mbowe anaweza kuishinda CCM, ila aangalia pale yeye kukosa ni Statement ambayo CCM inataka kuweka
KARATU: To Close to Call. Dr. Wilbroad Slaa Lorri wa CCM anakubalika kuliko yule Mch. wa CHADEMA..CHADEMA INA NGUVU KULIKO MTU WAO
Tathmini Yangu itaendelea:
Tathmini ni Tathmini, katika yote umeona hilo tu?Nadhani ni vizuri kama ungepata majina sahihi ya watu unaowaongelea ndipo tungeweza kukubaliana na unachokisema. Hivi CCM ina mgombea anajulikna kwa majina ya Dr. Wilbroad Slaa Lorri kule Karatu? Katika majina uliyoyataja nakubaliana na jina la mwisho yaani "Lorri", lakini mengine umeyachakachua. Au unamwota mbunge anayemaliza kipindi chake? Kwa namna hiyo kivuli cha mbunge anayemaliza kipindi chake( Dr. Wilbroad Slaa) kinaweza kumsaidia mgombea wa CHADEMA ashinde katika Jimbo hilo kinyume na unachosema.
Nadhani ni vizuri kama ungepata majina sahihi ya watu unaowaongelea ndipo tungeweza kukubaliana na unachokisema. Hivi CCM ina mgombea anajulikna kwa majina ya Dr. Wilbroad Slaa Lorri kule Karatu? Katika majina uliyoyataja nakubaliana na jina la mwisho yaani "Lorri", lakini mengine umeyachakachua. Au unamwota mbunge anayemaliza kipindi chake? Kwa namna hiyo kivuli cha mbunge anayemaliza kipindi chake( Dr. Wilbroad Slaa) kinaweza kumsaidia mgombea wa CHADEMA ashinde katika Jimbo hilo kinyume na unachosema.