Elections 2010 Majimbo ambayo yamechukuliwa na upinzani uchaguzi mkuu 2010

Elections 2010 Majimbo ambayo yamechukuliwa na upinzani uchaguzi mkuu 2010

cha democrasia hoyeeeeeeeee...tunataka upizani wenye tija ktk maendeleo ya WANANCHI ili atakama urais tutashindwa this TIME basi 2015 NCHI iongozwe na CHADEMA
 
wakuu

mimi naona tuwende kwa mpangilio mzuri ili tujue majimbo mangapi so far chadema imepata ili iwe rahisi zaidi. Na kadri wakitangaza basi tunaongeza kwenye list.

Mimi natoa yafuatayo kisha na wewe ukipata habari basi endeleza mtiririko kama wangu. List hii ni ya ubunge tu, tuandike yale yanayotanganzwa na tume si tetesi plse!!

1. Kigoma kaskazini
2. Ubungo
3. Biharamulo
4. Meatu
5. Ilemela
6. Mbulu
7. Nyamagana
8. Arusha mjini
9. Mbeya mjini
10. Hai
11. Ujiji
12. Mbozi magharibi
13. Maswa mashariki
14. Musoma mjini
15. Maswa magharibi

tuendeleze hapa....

kawe
 
God bless us pseee we need g-30 ndani ya mjengo mpaka vimeo wa chichiem watukomeeeee..... Mkwara wa kwanza katiba mpya na ipitishe umri wa wabunge...maana ccm imejaza vizeee na vyenye miwazo mgando mpaka havioni elimu na afya bure inawezekana na hata hayajui kwanini wit ol resources under the sun hatuendelei.... Nyambavu haooo...kiama chao hikiiii...2015 tunatoa roho na kukata kichwa
 
Pamoja na kuchakachua, mambo ni mazuri sana. Tuendelee kumshukuru mwenyezi mungu atuongezee wengine tena
 
1. Ubunge Mbulu - Mustapha Quorro Akonaay

2. Ubunge Karatu - Israel Yohana

3. Ubunge Ubungo - John Mnyika

4. Ubunge Mbozi Mashariki - Silinde David

5. Ubunge Ukerewe - Salvatory Naluyege

6. Ubunge Mbeya Mjini - Joseph Mbilinyi (Mr. II aka Sugu)

7. Ubunge Moshi Mjini - Philemon Ndesamburo Kiwelu

8. Ubunge Biharamulo Magharibi - Dk Antony Mbasa

9. Ubunge Rombo - Julius Selasini/CHADEMA

10. Ubunge Nyamagana - Hezekiah Wenje

11. Ubunge Iringa Mjini - Mchungaji Peter Msigwa

12. Ubunge Hai - Freeman Mbowe/CHADEMA

13. Ubunge Musoma Mjini - Vincent Nyerere

14. Ubunge Arusha Mjini - Godbless Lema

15. Ubunge Kigoma Kaskazini - Zitto Kabwe

16. Ubunge Ilemela - Hayness Samson

17. Ubunge Maswa Magharibi - John Shibuda

18. Ubunge Meatu - Meshack Opulukwa

19. Ubunge Maswa Mashariki - Sylvester Kasulimbayi Mhoja

20. Ubunge Kawe – Halima James Mdee

21. Ubunge Karagwe - Deusdedith Kahangwa



 
Ujiji iko jimbo la Kigoma mjini na limechukuliwa na CCM. Ondoa jimbo namba 11.
 
Ongezea jimbo la :
Kigoma kaskazini- kwa Zitto Kabwe-chadema
Kasulu vijjini kwa zainabu buyogela-chadema
 
Mpaka vifeke 30 hivyo, hii ndio idadi yetu tunayoitaji kulifanya bunge kudance according to our tune! Bravoooooooo
 
ubungo.......CHADEMA
kawe...........chadema
iringa mjini.....chadma
mbeya mjini.....chadema
moshi mjini.......chadema
kigoma kaskazini.....chadema
tanga mjini......CUF
mtwara mjini.....CUF
hai.....chadema
vunjo....TLP
rombo....chadema
ngoja nifuatilie mengine aiseeee

Unamaanisha Tanzania bara au Tanzania kama jamhuri ya muungano?
 
23 MAJIMBO TAKEN BY CHADEMA AS BY TODAY

Maswa mashariki
arusha mjini
meatu
nyamagana
maswa magharibi
iringa mjini
moshi mjini
ilemera
mbozi mashariki
mbeya mjini
mbulu
ubungo
karatu
ukerewe
rombo
hai
singida mashariki
kibondo
arumeru magharibi
biharamuro magharibi
musoma mjini
kigoma kaskazini
kawe
 
Maswa mashariki
arusha mjini
meatu
nyamagana
maswa magharibi
iringa mjini
moshi mjini
ilemera
mbozi mashariki
mbeya mjini
mbulu
ubungo
karatu
ukerewe
rombo
hai
singida mashariki
kibondo
arumeru magharibi
biharamuro magharibi
musoma mjini
kigoma kaskazini
kawe

Ukiongeza na Tanzania visiwani kwa ajili ya wabunge wa Jamhuri ya Muungano?
 
Back
Top Bottom