Elections 2010 Majimbo ambayo yamechukuliwa na upinzani uchaguzi mkuu 2010

Elections 2010 Majimbo ambayo yamechukuliwa na upinzani uchaguzi mkuu 2010

Wakuu

Mimi naona tuwende kwa mpangilio mzuri ili tujue Majimbo mangapi so far CHADEMA imepata ili iwe rahisi zaidi. Na kadri wakitangaza basi tunaongeza kwenye LIST.

Mimi natoa yafuatayo kisha na wewe ukipata habari basi endeleza mtiririko kama wangu. List hii ni ya Ubunge tu, tuandike yale yanayotanganzwa na Tume si Tetesi plse!!

1. Kigoma Kaskazini
2. Ubungo
3. Biharamulo
4. Meatu
5. Ilemela
6. Mbulu
7. Nyamagana
8. Arusha Mjini
9. Mbeya Mjini
10. Hai
11. Ujiji
12. Mbozi Magharibi
13. Maswa Mashariki
14. Musoma Mjini
15. Maswa Magharibi

tuendeleze hapa....
We weeeeeee! hebu fanya marekebisho haraka. Hakuna jimbo la UJIJI
 
wana JF naomba mnijulishe hadi sasa tuna majimbo mangapi maana nina shauku kubwa sana kujua tumeshakamata mangapi.
 
  1. Ubunge Mufindi Kusini - Menrad Lutengano Kigola/CCM
  2. Ubunge Mufindi Kaskazini - Mahmoud Hassan Mgimwa/CCM
  3. Ubunge Kondoa Kaskazini - Zabein Muhita/CCM
  4. Ubunge Bahi (Dodoma) - Omary Badwel/CCM
  5. Ubunge Monduli - Edward Lowassa/CCM
  6. Ubunge Hanang - Mary Nagu/CCM
  7. Ubunge Singida Mashariki - Tundu Lissu/CHADEMA
  8. Ubunge Misungwi - Mawematatu Charles Kitwanga/CCM
  9. Ubunge Kwimba - Masoor Shanif/CCM
  10. Ubunge Mbulu - Mustapha Quorro Akonaay/CHADEMA (mshindani wa karibu Philip Marmo)
  11. Ubunge Karatu - Israel Yohana/CHADEMA
  12. Ubunge Ubungo - John Mnyika/CHADEMA
  13. Ubunge Manyovu (zamani likijulikana kwa jina la Kasulu Magharibi) - Albert F. Ntaliba/CCM
  14. Ubunge Rorya - Lameck Airo/CCM
  15. Ubunge Sumbawanga Mjini - Aeshi Khalfan Hilal/CCM
  16. Ubunge Tanga - Omar Noor Rashid/CCM
  17. Ubunge Busanda (wilaya ya mkoa mpya wa Geita) - Bi. Lawrencia Bukwimba/CCM
  18. Ubunge Mbozi Mashariki - Silinde David/CHADEMA
  19. Ubunge Kibondo - CHADEMA
  20. Ubunge Geita (wilaya ya mkoa mpya wa Geita) - Max Donald/CCM
  21. Ubunge Nyang'wale (wilaya ya mkoa mpya wa Geita) - Hussein Nassoro/CCM
  22. Ubunge Ruangwa - Kassim Majaliwa/CCM
  23. Ubunge Lulindi - Jerome Bwanaus/CCM
  24. Ubunge Serengeti - Kebwe Stephen Kebwe/CCM
  25. Ubunge Mwibara - Alfax Lugora/CCM
  26. Ubunge Masasi - Mariam Kasembe/CCM
  27. Ubunge Makete - Dk. Binilith Mahenge/CCM
  28. Ubunge Ukerewe - Salvatory Naluyaga Machemuli/CHADEMA (mshindani wa karibu Gertrude Mongella)
  29. Ubunge Manyoni - John Chiligati/CCM
  30. Ubunge Bunda - Stephen Wassira/CCM
  31. Ubunge Kasulu Vijijini - Agripina Z. Buyogela/NCCR-Mageuzi (mshindani wa karibu Daniel Nsanzugwako).
  32. Ubunge Morogoro Kusini Mashariki - Lucy Nkya/CCM
  33. Ubunge Bukoba Mjini - Khamis Kagasheki/CCM
  34. Ubunge Njombe Kaskazini - Deo Sanga/CCM
  35. Ubunge Njombe Magharibi - Grayson Lwenge/CCM
  36. Ubunge Morogoro Kusini - Innocent Karogoresi /CCM
  37. Ubunge Dodoma Mjini - David Malole
  38. Ubunge Nyang'hwale - Hussein Amary/CCM
  39. Ubunge Urambo Mashariki - Samwel Sitta/CCM
  40. Ubunge Kyela - Harrison Mwakyembe/CCM
  41. Ubunge Morogoro Mjini - Aziz Abood/CCM
  42. Ubunge Arumeru Magharibi - Ole Sambu/CHADEMA
  43. Ubunge Manyoni Mashariki - Lwanji/CCM
  44. Ubunge Mkinga - CCM
  45. Ubunge Kilosa - Mustapha Mkullo/CCM
  46. Ubunge Namtumbo - Vita Kawawa/CCM
  47. Ubunge Longido - Michael Lekule Laizer/CCM
  48. Ubunge Kibaha - CCM
  49. Ubunge Kisarawe - CCM
  50. Ubunge Sumbawanga Mjini - CCM
  51. Ubunge Moshi Vijijini - Cyril Chami/CCM
  52. Ubunge Vunjo (Kilimanjaro) - Augustine Lyatonga Mrema/TLP
  53. Ubunge Mtwara Mjini - Murji Hasinen Mohamed/CCM
  54. Ubunge Lindi - Salum Barwani/CUF (mshindani wa karibu Mohammed Abdulaziz/CCM)
  55. Ubunge Tabora Mjini - Ismal Aden Rage/CCM
  56. Ubunge Arumeru Mashariki - Jeremia Sumari/CCM
  57. Ubunge Mwanga - Jumanne Maghembe/CCM
  58. Ubunge Siha (Kilimanjaro) - Aggrey Mwanri/CCM
  59. Ubunge Mbeya Mjini - Joseph Mbilinyi (Mr. II aka Sugu)/CHADEMA
  60. Ubunge Chato - John Magufuli/CCM
  61. Ubunge Moshi Mjini - Philemon Ndesamburo Kiwelu/CHADEMA
  62. Ubunge Songea - Dk. Emmanuel Nchimbi/CCM
  63. Ubunge Bukoba Vijijini - Jasson Rweikiza/CCM
  64. Ubunge Biharamulo Magharibi - Dk Antony Mbasa/CHADEMA
  65. Ubunge Kasulu Mjini - Machali Moses John/NCCR Mageuzi
  66. Ubunge Mvomero - Amos Makalla/CCM
  67. Ubunge Kigoma Mjini - Peter Serukamba/CCM
  68. Ubunge Rombo - Julius Selasini/CHADEMA (mshindani wa karibu Basil Mramba/CCM)
  69. Ubunge Tarime - Nyambari Nyangweni/CCM
  70. Ubunge Nyamagana - Hezekiah Wenje/CHADEMA (mshindani wa karibu Lawrence Masha/CCM)
  71. Ubunge Babati Mjini - Chambiri Werema/CCM
  72. Ubunge Iringa Mjini - Mchungaji Peter Msigwa/CHADEMA (mshindani wa karibu Monica Mbega/CCM)
  73. Ubunge Hai - Freeman Mbowe/CHADEMA
  74. Ubunge Singida Mjini - Mohamed Dewji/CCM
  75. Ubunge Musoma Mjini - Vincent Nyerere/CHADEMA
  76. Ubunge Peramiho - Jenista Mhagama/CCM
  77. Ubunge Mpwapwa - George Tau/CCM
  78. Ubunge Arusha Mjini - Godbless Lema/CHADEMA (mpinzani wa karibu Batilda Burian/CCM)
  79. Ubunge Mbarali - Dickson Kiruvi/CCM
  80. Ubunge Kigoma Kaskazini - Zitto Kabwe/CHADEMA
  81. Ubunge Korogwe - Yusuf Nassir/CCM
  82. Ubunge Ilemela - Hayness Samson/CHADEMA (mshindani wa karibu Anthony Diallo/CCM)
  83. Ubunge Kongwa - John Ndugai/CCM
  84. Ubunge Mtwara Vijijini - Hawa Ghasia/CCM
  85. Ubunge Maswa Magharibi - John Shibuda/CHADEMA
  86. Ubunge Tandahimba - Juma Njwayo/CCM
  87. Ubunge Meatu - Meshack Opulukwa/CHADEMA
  88. Ubunge Kibakwe - CCM
  89. Ubunge Maswa Mashariki - Sylvester Kasulimbayi Mhoja/CHADEMA
  90. Ubunge Urambo Magharibi - Prof. Juma Kapuya/CCM
  91. Ubunge Bumbuli - January Makamba/CCM

from: Washindi mbalimbali wa uwakilishi Serikalini 2010-2015 -
 
Tafadhari tuwekeeni majimbo yaliyochukuliwa na wapinzani kwanza ama kwa kuongezea mnaweza kuweka wabunge wa CCM walirushwa nje ya fensi.
 
Jamani mwenye matokeo ya majimbo tuliyofanya vizuri "CHADEMA"atujulishe jamani.
 
Jimbo la Kawe-Halima Mdee ndani ya Mjengo kwa kura 58,000+
Nasikia CCM anachechemea na 30,000+

Big up CHADEMA,big up Halima Mdee.

Najisikia Rahaaaaaaaaaaaaaaaaaa,Utamuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu.

DR.SLAA NA CHADEMA endeleeni kutupa raha.
 
Majimbo amabayo tayari yapo mikononi mwa CHADEMA
1. Mbeya mjini
2. Arusha mjin
3. Iringa mjini
4. moshi mjini
5. hai
6. ilemela
7. nyamagana
8. ukerewe
9. ubungo
10. Rombo
11. Mburu
14. Meatu
15. Maswa MAshariki
16. Maswa Magharibi
17. Karatu
18. Musoma Mjini
19. Biharamuro
20. Kaawe
21. Mbozi Magharibi
Expected for Sure
1. Mbeya Vijijini
2. Bukombe
3. Segerea
4. Singida kaskazini
5. Na mengine kibao
 
Sipati picha mjengoni kutakuwaje!'YES WE CAN'we have proved that and we made it.
 
Majimbo amabayo tayari yapo mikononi mwa CHADEMA
1. Mbeya mjini
2. Arusha mjin
3. Iringa mjini
4. moshi mjini
5. hai
6. ilemela
7. nyamagana
8. ukerewe
9. ubungo
10. Rombo
11. Mburu
14. Meatu
15. Maswa MAshariki
16. Maswa Magharibi
17. Karatu
18. Musoma Mjini
19. Biharamuro
20. Kaawe
21. Mbozi Magharibi
Expected for Sure
1. Mbeya Vijijini
2. Bukombe
3. Segerea
4. Singida kaskazini
5. Na mengine kibao

Umechakachua namba 11, 14!
 
Back
Top Bottom