Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu kuwa makini na data zako
Tulijadili mchana tusiwe kama watoto kulishana pipi, hapa hatufanyi kampeni , tunataka matokeo nyie vipi kuna haja gani ya kujifurahisha lete matokeo sio hisia zako
kwa idadi hii ya wabunge inatia moyo sana,Mpendazoe vipi jamani?
kwa idadi hii ya wabunge inatia moyo sana,Mpendazoe vipi jamani?
Musoma mjini - VINCENT NYERERE
Kigoma kaskazini - ZITO KABWE
Ubungo - JOHN MNYIKA
Moshi mjini - PHILEMON NDESAMBURO
Hai - FREEMAN MBOWE
Sumbawanga mjini
Nkasi kaskazini
Kahama
Arusha mjini - GODBLESS LEMA
Karatu
Kiteto
Iringa mjini - MCH PETER MSIGWA
Mbeya mjini - JOSEPH MBILINYI AKA MR SUGU
Mbeya vijijini
Nyamagana - HEZEKIAH WENJE
Ilemela - HAYNES SAMSON
Mbulu
Songea mjini
Mbozi mashariki - SILINDE
Ukonga
Kawe - HALIMA MDEE
Arumeru Magharibi - OLE SAMBU
Serengeti
Singida kaskazini
Biharamulo Magharibi - DK ANTONY MBASA
Segerea- FREDERICK MPENDAZOE
Rombo - JULIUS SELASINI
Hanang
Ulanga Magharibi -PROF MLAMBITI
Meatu - MESHACK OPOLUKWA
Maswa Magharibi - JOHN SHIBUDA
Maswa Mashariki - KASULUMBAYI
Ukerewe - SALVATORY NALUYEGE
NB: Kama kuna jimbo nimelisahau naomba mnifahamishe
ni aibu kwa watendaji wa dar es salaam kutotoa matokeo intime. walipaswa watoe jana asubuhi maana hawana sababu yoyote
ni aibu kwa watendaji wa dar es salaam kutotoa matokeo intime. walipaswa watoe jana asubuhi maana hawana sababu yoyote
Maswa Magharibi na Ulanga kwa Prof. Je mzee Makamba atasemaje yeye alisema Chadema mwaka huu haipati viti hata 10.Itabidi akambilie ******.
Ninampongeza sana Godbless Lema mbunge wa Arusha mjini kwa msimamo wake. Hakika ameandika historia kuondoa jimbo mikononi mwa ccm tangu tulipopata uhuru bravo Godbless
watoka bara wametenda ipasavyo kama kawaida, hapa town (dar) bado kidogo!