Elections 2010 Majimbo ambayo yamechukuliwa na upinzani uchaguzi mkuu 2010



No 5 na 6 repetition!!
 
Mbona arumeru haipo kwenye list aiondoaje sasa.
Umepitiwa kidogo mkuu
 

Asante sana for the info.
 
Saharavoice mbona mi sijaona hiyo Arumeru magharibi ni namba ngapi?
 
Jamani katika kambi ya upinzani kwenye bunge lijalo, huyu Lyatonga Mrema atawekwa kwenye kundi gani? Maana huyu ndiye atakuwa anavujisha siri za vikao vya kambi ya upinzani. It's very sad.
 


Karagwe anaitwa Deusdedith Kahangwa na amethibitishwa tayari ongeza kwenye bungebank yetu aise
 
Tanga Mjini limeenda CCM
Mtwara Mjini pia limeenda CCM
Sumbawanga Mjini limeenda CCM
Songea Mjini limeenda CCM
.............. Hii ni baada ya uchakachuaji
 

Mkuu, rekebisha hapo kwenye red color ni Joseph Selasini
 
Wakati wa kuandaa list hii idadi ya wabunge wa CCM nayo iangaliwe kwa nia ya kujua chama kikuu cha upinzani kitakuwa kipi. Wao Zanziba nadhani wana 18 + 4 = 22 bado huku bara. Ni vema mazungumzo ya Chadema na NCCR yakaanza ili kuunda kambi ya upinzani
 
Majimbo mengine ya chadema karatu, Mbulu.....
 

Mh sijuhi kama lina wezekana hilo, TUNGOJE NA VITI MAALUM, tuone itakuwaje, NAdhani chadema watasimama wenyewe.
 
Umesahau mengi tu kaka;
-Maswa Mash-CHADEMA
-Maswa Mgh-CHADEMA
-Meatu-CHADEMA
 
1.Musoma mjini - Vincent Nyerere- CHADEMA
2.Iringa mjini - Mch. Peter Msigwa- CHADEMA
3.Lindi mjini - Salum Halfani Barwani- CUF
4.Arusha mjini- Godbless Lema - CHADEMA
5.Mwanza Nyamagana- Hezekiah Wenje - CHADEMA
6.Moshi Mjini- Philemon Ndesamburo - CHADEMA
7.Maswa Magharibi- John Shibuda- CHADEMA
8.Maswa Mashariki- Silverster Kasulumbayi- CHADEMA
9.Ukerewe - Salvatory Naluyege- CHADEMA
10.Biharamulo - Dr. Mbasa - CHADEMA
11.Ilemela - Haines Samson- CHADEMA
12.Meatu- Meshack Opulukwa- CHADEMA
13.Kigoma Kaskazini- Zitto Kabwe- CHADEMA
14.Mbeya mjini - Joseph Mbilinyi - CHADEMA
15.Hai Kilimanjaro- Freeman Mbowe - CHADEMA
16.Vunjo - Augustino Lyatonga - TLP
17. Kasulu vijijini - Zaituni Buyogera - NCCR Mageuzi
18. Kasulu Mjini - Michael John - NCCR Mageuzi
19. Mbulu -Mustafa Akonay - CHADEMA
20. Ubungo - John Mnyika - CHADEMA
21. Kawe - Halima Mdee - CHADEMA
22.Karatu-Israel Naase-CHADEMA
23. Rombo-Joseph Selasini-CHADEMA
24. Makiungu- Tundu Lisu- CHADEMA

Tafadhali ongeza mengine yaliyotangazwa tayari na Nec.

Kumbuka Makamba alitamka kuwa upinzani hautapata hata majimbo kumi mwaka huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…