Peoples Power!Nimeletewa taarifa kwamba upinzani wamekamata majimbo 4 ya mkoa wa Mbeya.
Majimbo hayo ni:
Mbeya Mjini - CHADEMA
Mbeya Vijijini - CHADEMA
Mbozi Magharibi - CHADEMA
Chunya-Lupa - TLP
Mbeya vijijini ni Sambwee Shitambala, ni yuleyule ambaye aligombea kwenye uchaguzi mdogo baada ya kufariki kwa Mbunge Nyagawa, then akawa disqualified dakika za mwisho baada ya kuambiwa alijiapisha mwenyewe!Nasikia Mbozi mashariki Mwambapa wa CHADEMA kapeta
Nasikia Mbozi mashariki Mwambapa wa CHADEMA kapeta