Elections 2010 Majimbo ambayo yamechukuliwa na upinzani uchaguzi mkuu 2010

CCM ina mkakati wa kuchakachua sehemu zote walizoshindwa kwa kutaka kura zirudiwe kuhesabiwa halafu wanaingiza kura zao za wizi!! Wanataka kufanya hivyo huko Mbeya , Singida , Kigoma, Kawe na kote wanakotaka kurudia kuhesabu kura. Wananchi wasikubali hizi kura kuchakachuliwa afadhali wapigwe mabomu!!
 
Kwa hii idadi, bungeni kutakuwa ni vururuvururu. Viva chadema!
 
Tulijadili mchana tusiwe kama watoto kulishana pipi, hapa hatufanyi kampeni , tunataka matokeo nyie vipi kuna haja gani ya kujifurahisha lete matokeo sio hisia zako
 
Hivi jamani hakuna namna yoyote inayoweza kutumika kuhakiki kama kura zimechakachuliwa? Mimi nashauri maeneo yote ambayo chadema ina wasiwasi na matokeo ufanyike utaratibu wa kureview process nzima ya uchaguzi ikiwa ni pamoja na kuhesabu upya kura.
 

mbona Ubungo hamsemi?
 
<p>
Nipeni matokeo ya segerea
</p>
<p>&nbsp;</p>
tunaongoza kura za mbunge na rais kulingana na mawakala wetu.Kwa madiwani tumepata kimanga confirmed,kipawa,kiwalan,vingunguti na tabata bado wameyangangania ila madiwani wanaongoza.kinyerezi tumepoteza na segerea kwenye udiwani.
 
Mwenye macho haambiwi tazama. Wakati wa ukombozi umewadia
 

Asante sana kwa kutupa orodha ila kuna majimbo umeyarudia rudia 'Maswa Mashariki' lakini is hoja kwani picha yako ni nzuri. Hivi kote wamekwisha tangaza rasmi? Kwani ambako bado nasikia CCM wanatumia pesa kuwalaghai wabunge wateule wa Chadema kwa vipesa?
 
mahanga hayupo ukonga , yupo segerea anapambana na mpendazoe
 
Mbozi Mashariki
 
Jamani tuwe na data za kuaminika, hapo umeweka Kibaha mjini wakati imeshatangazwa jana TBC1 Chama Cha Majambazi kimechukua akiwa ni bwana Koka..... tujaribu kuwa makini kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…