CCM ina mkakati wa kuchakachua sehemu zote walizoshindwa kwa kutaka kura zirudiwe kuhesabiwa halafu wanaingiza kura zao za wizi!! Wanataka kufanya hivyo huko Mbeya , Singida , Kigoma, Kawe na kote wanakotaka kurudia kuhesabu kura. Wananchi wasikubali hizi kura kuchakachuliwa afadhali wapigwe mabomu!!