Majimbo ya Kano na Sokoto nchini Nigeria yapiga marufuku kusikiliza nyimbo za Davido hadharani

Majimbo ya Kano na Sokoto nchini Nigeria yapiga marufuku kusikiliza nyimbo za Davido hadharani

Exile

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2021
Posts
1,477
Reaction score
3,642
Hii inakuja baada ya davido kutoa wimbo wake hivi karibuni wenye video yenye maudhui ya dini ya kiislam.

Waislam wengi hawajapendezewa hasa kwenye majimbo yanayoongozwa kwa mfumo sharia bono na sokoto nchini naigeria, kuwa davido kaudhaurisha uislam kupitia wimbo huo.

Hizi dini zingine zimekuwa mzigo sana kwa Afrika



---
Kano and Sokoto States respectively have banned listening to Davido’s music in public over disrespect from Logos Olori’s JAYELO music video.

Taking to social media, an Arewa Twitter journalist, Wasapping, confirmed the news to his fellow Northern Muslims.

However, the video didn’t sit well with many, as some internet users accused him of disrespecting Islamic beliefs and practices.

The controversial music video in question features Logos Olori’s new song titled “Jayelo.”

The video, which was shot in a Mosque-like scene, depicted scenes where some men in white Jalabiya, were observing prayers. After the prayers, the men switched to dancing as they recited some Quranic verses and prayed.

Davido’s signee, on his part, copied the Muslim style of praying while sitting on the roof of the building.

However, the video generated controversy online, as some netizens accused Davido of disrespecting Islamic beliefs and practices.


Source: Kano, Sokoto Ban Listening Of Davido’s Music In Public
 
Hii inakuja baada ya davido kutoa wimbo wake hivi karibuni wenye video yenye maudhui ya dini ya kiislam.

Waislam wengi hawajapendezewa hasa kwenye majimbo yanayoongozwa kwa mfumo sharia bono na sokoto nchini naigeria, kuwa davido kaudhaurisha uislam kupitia wimbo huo.

Hizi dini zingine zimekuwa mzigo sana kwa afrika
Kwahiyo wanahisi atafirisika kwa katazo lao?........
 
Ila wana nongwa hawa kwani hapa kuna tatizo gani kwenye hii video?
Dah hili jibu nalo😂🤔🙄
20230724_131157.jpg
 
Huyo Daudi hana bahati wazee wa miemko lazima wamfanyie kitu mbaya
Anachezea dii ya mnya
 
Wakati Diamond katoa ule wimbo kaimbia Kanisani,si mlikua mnashindana humu kufungua thd za kulani kitendo hicho? Wagalatia mna shida aisee.
 
Japo mimi ni mkristo ila wapo sahihi kwa hili,uislamu sio ukristo ambao unachezewa chezewa tu huku watu wamebana pua kuwa mungu hatetewi hali inayopelekea ukristo kuwa kama kioja
Mungu kama amemuumba mwanadam atashindwa akiamua kumdhibiti kwanini wewe ujione mkamilifu?
 
Acha ujinga! Zimekuwa mzigo kwa ujinga wako! Hakuna machezo katika dini....hata nyie Wa upande wapili tatizo mmeruhusu mzaha mmearibiwa na lengo huwa tufanane!
Davido kaelewa na amefuta wimbo kwenye Acc yake,ila anakuja mgalatia wa kijijini huko anabwabwaja tu.
 
Acha upunguani wewe,umeelewa comment yangu? soma tena kisha ulete jibu,Diamond alipotoa ule wimbo kaimbia Kanisani unajua ni thd ngapi zilishuka hapa JF kulaumu? acheni unafiki wakijinga.
Sipo humu kuhesabu thd mi nauliza hapo kunasehem kakufuru haya ya diamond tukutane kwenye nyuzi zake hapa tupo kwa davido
 
Back
Top Bottom