Majina 19 yanayotajwa kuwarithi Halima Mdee na wenzake bungeni

Ukimuacha huyu Basi, dhambi kubwa! Huyu amekipambania chama bila kujali Magufuli anapoteza watu, anaua, anateka , anajeruhi kwa risasi (Lisu). She deserves to go front line in the parliament
Huyu ni mbunge halali aliye dhurumiwa kule Muheza
 
Mke wa Lissu apewe nafasi, kasaidia sana kututunzia Lissu baada ya jaribio la kishetani alilofanyiwa
 
Dah naona siona malalamiko ya Udini humu, Ingelikua ACT tungeliona vijana wanavyolalamika Udini, lakini kwa hapa kiharakharaka ni 17 - 3
 
Baada ya Baraza Kuu kuwafukuza rasmi kina Mdee ni wakati mwafaka kuendelea na mjadala wetu.
 
Pamela sio kwamba ni Mbunge wa EALA ?
 
Huyu Joyce Mukya sijawahi kumuona katika ujenzi wa Chama ila miaka yote anapeta tu, labda kwasababu anampa furaha mwenyekiti wetu basi acha tu aulambe
Unamuonea Wivu Joyce Mkuya ?
Unatamani wewe ndio ukampe Faraja Chairman sio ?
 
TULIKUBALIANA KUWA UCHAGUZI HAUKUWA HURU NA HAKI, NA CHADEMA HAWATOPELEKA WABUNGE WA VITI MAALUM.
IMEKUWAJE TENA UCHAGUZI ULE UWE HURU NA HAKI??
 
Orodha ilitakiwa kupelekwa siku 30 kabla ya uchaguzi mkuu wa 2020, haya majina yapo Tume ya Taifa ya Uchaguzi?
Unless sheria zisifuatwe
 
CHADEMA pelekeni wawakilishi wa viti maalum tumieni hii opportunity ili kujenga hoja zitakazo i challenge ccm kuelekea 2025,bunge ni siraha muhimu freeman mbowe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…