Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Huyu anastahili kuwa mjengoni mbunge halali wa MuhezaYosepher Komba
View attachment 2220323
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu anastahili kuwa mjengoni mbunge halali wa MuhezaYosepher Komba
View attachment 2220323
Huyu ni mbunge halali aliye dhurumiwa kule MuhezaUkimuacha huyu Basi, dhambi kubwa! Huyu amekipambania chama bila kujali Magufuli anapoteza watu, anaua, anateka , anajeruhi kwa risasi (Lisu). She deserves to go front line in the parliament
Wewe mambo ya chadema yanakuhusu nini? Unaona wivu?Mmeanza kuwa na akili sasa. Kataeni jina la Joyce mukya, acheni ukondoo
Mbunge nje ya BungeHuyu ni mbunge halali aliye dhurumiwa kule Muheza
Toa na wewe uendeBila kutoa papuchi huendi bungeni
Hivi mwenye chair ndiyo huwa anawaomba hizo papuchi au nani?Kama aliombwa papuchi akabana imekula kwake
Nani mwenye ubavu wa kumkatalia mfalme mbowe?Mmeanza kuwa na akili sasa. Kataeni jina la Joyce mukya, acheni ukondoo
Kunywa na bia kabisa, nakuja kulipa
Pamela sio kwamba ni Mbunge wa EALA ?Sakata la kuvuliwa uanachama wabunge 19 wa Viti Maalum wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) linaendelea kushika kasi baada ya tetesi zinazodai kuwa kuna uwezekano mkubwa wa chama hicho kupeleka majina mengine ya wabunge wa viti maalum ili kuchukua nafasi yao.
Majina yanayotarajia kuwarithi ni Catherine Ruge (Katibu Mkuu Bawacha), Sharifa Mohamed (Kaimu Mwenyekiti Bawacha), Suzan Kiwanga (Aliyekuwa mgombea jimbo la Mlimba, Morogoro) Grace Kiwelu, Joyce Mukya, Suzan Lyimo.
Wengine ni Devotha Minja (aliyekuwa mgombea jimbo la Morogoro Mjini) Upendo Peneza, Lucy Owenya, Rose Moshi, Rhoda Kunchela, Gimbi Masaba, Rose Mayemba, Aisha Luja, Husna Said, Nice Gisunte, Moza Ally, Dorcas Francis, Ruth Molle, Pamela Massay na Lucy Magereli.
Unamuonea Wivu Joyce Mkuya ?Huyu Joyce Mukya sijawahi kumuona katika ujenzi wa Chama ila miaka yote anapeta tu, labda kwasababu anampa furaha mwenyekiti wetu basi acha tu aulambe
Au wewe ndiyo Joyce mkuya?
Orodha ilitakiwa kupelekwa siku 30 kabla ya uchaguzi mkuu wa 2020, haya majina yapo Tume ya Taifa ya Uchaguzi?Sakata la kuvuliwa uanachama wabunge 19 wa Viti Maalum wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) linaendelea kushika kasi baada ya tetesi zinazodai kuwa kuna uwezekano mkubwa wa chama hicho kupeleka majina mengine ya wabunge wa viti maalum ili kuchukua nafasi yao.