Majina 19 yanayotajwa kuwarithi Halima Mdee na wenzake bungeni

Active kwenye Chama wakati kichwani hakuna kitu.. Ataenda kuongea nini au kuchangia nini cha maana Bungeni??

Michango yake tu ya Twitter inajidhihirisha alivyo mtupu kichwani..

Mukya yeye ndio yuko vizuri?
 
Kuna yule huwa anakesha Twita kumtana rais hayumo sijui Hilda
 
Nitawashangaa Chadema kwa ukongwe wao na yote waliyopitia kama hawatafanya nilichoandika kisa ruzuku!
Kama hawatambui uchaguzi then it is a galaxy kuopeleka viti maalum! Nadhani utaibuka mshindi katika Uzi huu
 
Jaman Hilda Newton, huyu dada apewe nafasi. Huyu dada kweli ni mpambanaji wa CHADEMA sijaona mfano wake

Najua vigigo wa CHADEMA wanapita humu. Jaman huyu dada Hilda mpeni nafasi. Sikilizen wapenzi na mashabiki wa CDM.
 
Ungeweka heading ya tetesi. Kama ni kweli cdm watakuwa hawafanyi sawa kwa kuweka sura hizo hizo kila siku hata kwa viti vya dezo.
Sawa mkuu hata hivyo heading inasema ‘yanayotajwa’ ni tetesi.
 
Kwenye siasa kila hesabu ina njia zake mpaka kulifikia jibu.
Huwezi kukomaa na njia ileile ambayo hai'archieve lengo lako.
 
Mukya mukya mukya mukya mukya mukya mukya


Kila siku mnaletewa jina hilohilo kisa ni mchepuko wa sultan
 
Ukimuacha huyu Basi, dhambi kubwa! Huyu amekipambania chama bila kujali Magufuli anapoteza watu, anaua, anateka , anajeruhi kwa risasi (Lisu). She deserves to go front line in the parliament

Kumbe sio uwakilishi bali hisani, no wonder kina Joyce Mukya hawakosi.
 
Ungeweka heading ya tetesi. Kama ni kweli cdm watakuwa hawafanyi sawa kwa kuweka sura hizo hizo kila siku hata kwa viti vya dezo.
Sema moderators nao walitakiwa waweke jukwaa la tetesi

Anyway mimi nasubiri kwa hamu kama kweli Chadema itateua wabunge viti maalumu wapya !!

Nina peni na karatasi niOne kama list itakuwa na sura ya kitaifa au itajaza akina Manka!! Toka kilimanjaro
 
Vyovyote vile mkuu kwani unafikiri tuliowachagua 2020 ndio wanatuongoza Leo.....kaa kwa kutulia maisha yaendelee
Kwahiyo kumbe wabunge mliowachagua 2020 sio hawa waliopo bungeni?? 😀
 
Naona Joyce Mukya anawauma sana. Mwacheni na yeye aule. Wenye wivu mkazikwe Chattle
 
Kwenye siasa kila hesabu ina njia zake mpaka kulifikia jibu.
Huwezi kukomaa na njia ileile ambayo hai'archieve lengo lako.
Hii ndio itasababisha uwe na bei, au uitwe malaya malaya, kwangu siasa ni msimamo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…