Majina 19 yanayotajwa kuwarithi Halima Mdee na wenzake bungeni

Elimu yake huwezi linganisha na huyo Hilda. Hilda form four alifeli na hana cheti chochkte

Nipe tofauti ya msomi na ambaye hajasoma hapa nchini. Si ndio hayo mbunge msukuma anasema mtu anakutambia ana Phd, lakini mkimaliza story anakuomba shilingi 10,000!
 
Sakata la kuvuliwa uanachama wabunge 19 wa Viti Maalum wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) linaendelea kushika kasi baada ya tetesi zinazodai kuwa kuna uwezekano mkubwa wa chama hicho kupeleka majina mengine ya wabunge wa viti maalum ili kuchukua nafasi yao.

Majina yanayotarajia kuwarithi ni Catherine Ruge (Katibu Mkuu Bawacha), Sharifa Mohamed (Kaimu Mwenyekiti Bawacha), Suzan Kiwanga (Aliyekuwa mgombea jimbo la Mlimba, Morogoro) Grace Kiwelu, Joyce Mukya, Suzan Lyimo.

Wengine ni Devotha Minja (aliyekuwa mgombea jimbo la Morogoro Mjini) Upendo Peneza, Lucy Owenya, Rose Moshi, Rhoda Kunchela, Gimbi Masaba, Rose Mayemba, Aisha Luja, Husna Said, Nice Gisunte, Moza Ally, Dorcas Francis, Ruth Molle, Pamela Massay na Lucy Magereli.
Vp mchepuko wa Mwenyekigoda yupo?
 
Majina yaleyale....
Watu walewale...wenye mahusiano yaleyale na viongozi wetu 🤣🤣🤣

Ama kweli kila mmoja anatafuta riziki yake🤣

Mbaya tu ni hiyo riziki yake iwe ngazi ya kuwavunja migongo wale wasioneemeka nayo.....

Wacha CCM iendelee kututawala 💪

#Siempre JMT🙏
 
Nipe tofauti ya msomi na ambaye hajasoma hapa nchini. Si ndio hayo mbunge msukuma anasema mtu anakutambia ana Phd, lakini mkimaliza story anakuomba shilingi 10,000!
Nadhani Chadema sera yenu ilikuwa mbunge lazima awe na elimu nzuri na sio kujua kusoma na kuandika. Na mliipigania sana hii bungeni..

Sasa kama mnashindwa kuyasimamia mnayoyaamini sijui kwanini mnataka Katiba Mpya
 
Kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake, kwangu ingependeza zaidi kumuona Hilda Newton bungeni.
Nakubaliana na wewe 100% itakuwa dhambi kubwa kuwaacha Hawa chipukizi Hilda Newton na Upendo Peneza. Msifamye makosa ya kuwajaza hao wabunge wa zamani waliozeeka na wengi wakitokea kanda ya Kaskazini ; mtaua chama. Jaribuni kupata balance ya wazee na vijana na pia balance ya Kanda to have harmony!
 
Sijui huwa mnachangua kwa kuangalia facts zipi, kushinda twitter au?? Ndomaana mnatumika kirahisi sana kama platform ya watu kujikuza kisiasa, na hata huko mitandaoni(refer to kigogo) kwasababu mmejaa mihemko.

Huyo Hilda ana kipi cha maana, au swala lake la kujionyesha kuipenda CDM mitandaoni??
You must be old fashioned! Huyo Newton amekisaidia sana Chadema kwa kazi anayo fanya mitandaoni kuliko hao Mabibi wengi wabunge wa zamani waliochoka . Mitandao ndio njia ya mawasiliano ya dunia ya leo!
If you are serious you cannot pick Susan Lyimo or Grace Kiwelu or Ruth Mollel not to mention Mukya AND leave out HILDA NEWTON! This is the digital age you need young and energetic parliamentarians and not old grandmothers!
 
Sakata la kuvuliwa uanachama wabunge 19 wa Viti Maalum wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) linaendelea kushika kasi baada ya tetesi zinazodai kuwa kuna uwezekano mkubwa wa chama hicho kupeleka majina mengine ya wabunge wa viti maalum ili kuchukua nafasi yao.

Majina yanayotarajia kuwarithi ni Catherine Ruge (Katibu Mkuu Bawacha), Sharifa Mohamed (Kaimu Mwenyekiti Bawacha), Suzan Kiwanga (Aliyekuwa mgombea jimbo la Mlimba, Morogoro) Grace Kiwelu, Joyce Mukya, Suzan Lyimo.

Wengine ni Devotha Minja (aliyekuwa mgombea jimbo la Morogoro Mjini) Upendo Peneza, Lucy Owenya, Rose Moshi, Rhoda Kunchela, Gimbi Masaba, Rose Mayemba, Aisha Luja, Husna Said, Nice Gisunte, Moza Ally, Dorcas Francis, Ruth Molle, Pamela Massay na Lucy Magereli.

Wanaweza kuchambua kama Sauti ya zege au wanaenda kubabaisha mjengoni?
 
Back
Top Bottom