Majina 19 yanayotajwa kuwarithi Halima Mdee na wenzake bungeni

Kama kuna ambaye aligoma kutoa papuchi haraka sana ondoa jina lake hapo
 
Yule shujaa binti wa Muheza hayumo?
Somebody Komba......

Anyway nadhani huu Uzi na majina yameletwa Ili kuprove kwamba hao kina Mdee ni replaceable!!

BAWACHA Ina potential wengi sana so hata wakitolewa wasidhani itayumba
 
Huyu Joyce Mukya sijawahi kumuona katika ujenzi wa Chama ila miaka yote anapeta tu, labda kwasababu anampa furaha mwenyekiti wetu basi acha tu aulambe
Huu ni umbea yaani mtoto wa kiume unapiga chabo watu wazima? Kwani mwenye kiti akila hiyo mbunye wewe wewe unawashwa kwenye tundu lipi ktk hayo ulonayo?
 
Kwahiyo Pamella Maasay ataachia kule EALA kwenye 'ulaji' zaidi? Vipi Hadija Mwago, Aliyekuwa Mgombea Ubunge Mbagala? Hii Orodha haiko sawa! Mwandishi ana ajenda zake.

Mkuuu mleta hoja ni “ramli” zake nawe unaweza kuleta ramli zako tu sio lazima majina yako yawe “accomodated”[emoji4][emoji4]
 
Sakata la kuvuliwa uanachama wabunge 19 wa Viti Maalum wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) linaendelea kushika kasi baada ya tetesi zinazodai kuwa kuna uwezekano mkubwa wa chama hicho kupeleka majina mengine ya wabunge wa viti maalum ili kuchukua nafasi yao.

Majina yanayotarajia kuwarithi ni Catherine Ruge (Katibu Mkuu Bawacha), Sharifa Mohamed (Kaimu Mwenyekiti Bawacha), Suzan Kiwanga (Aliyekuwa mgombea jimbo la Mlimba, Morogoro) Grace Kiwelu, Joyce Mukya, Suzan Lyimo.

Wengine ni Devotha Minja (aliyekuwa mgombea jimbo la Morogoro Mjini) Upendo Peneza, Lucy Owenya, Rose Moshi, Rhoda Kunchela, Gimbi Masaba, Rose Mayemba, Aisha Luja, Husna Said, Nice Gisunte, Moza Ally, Dorcas Francis, Ruth Molle, Pamela Massay na Lucy Magereli.
Yule wa Njombe hayupo kale kadada machachari
 
Huu ni uzushi kwa 100%.
Chadema ni chama cha kanuni na taratibu, sio chama cha mihemko.
Chadema ilichasema wazi haiyatambui matokeo yote ya uchaguzi mkuu 2020, haijapeleka jina lolote la viti maalum na imewafukuza uanachama Covid 19.

Nini kitafuata?
Baraza kuu itatupilia mbali rufaa za Covid 19. Na spika na maCCM wenzake wataamua ama wawachinjie baharini hao Covid 19 (ili kuona kama CHADEMA watachukua mkondo mpya kwa kuwa rais ni Samia) au waendelee kuwabeba Covid 19.
Nini CHADEMA watafanya baada ya hapo? Itategemea spika na maCCM watasimamia wapi kwanza.
 
Hao mnaowaita COVID 19 wakienda Act na wakapata platform wana nafasi nzuri zaidi maana ni wazuri kwenye ujengaji wa hoja
 
Sakata la kuvuliwa uanachama wabunge 19 wa Viti Maalum wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) linaendelea kushika kasi baada ya tetesi zinazodai kuwa kuna uwezekano mkubwa wa chama hicho kupeleka majina mengine ya wabunge wa viti maalum ili kuchukua nafasi yao.

Majina yanayotarajia kuwarithi ni Catherine Ruge (Katibu Mkuu Bawacha), Sharifa Mohamed (Kaimu Mwenyekiti Bawacha), Suzan Kiwanga (Aliyekuwa mgombea jimbo la Mlimba, Morogoro) Grace Kiwelu, Joyce Mukya, Suzan Lyimo.

Wengine ni Devotha Minja (aliyekuwa mgombea jimbo la Morogoro Mjini) Upendo Peneza, Lucy Owenya, Rose Moshi, Rhoda Kunchela, Gimbi Masaba, Rose Mayemba, Aisha Luja, Husna Said, Nice Gisunte, Moza Ally, Dorcas Francis, Ruth Molle, Pamela Massay na Lucy Magereli.
Kwa hiyo wametambua ushindi sio? 😄😄😄
 
Back
Top Bottom