Majina 19 yanayotajwa kuwarithi Halima Mdee na wenzake bungeni

Kama kuna ambaye aligoma kutoa papuchi haraka sana ondoa jina lake hapo
 
Wenzenu wanatumia hao nzi kuwa piga nao nyie mkihangaika na mabibi zenu!! Ndio maana wanawaita SACCOS kwani hamna KPIs kwenye maamuzi yenu!
Kama ambavyo kigogo amewapiga sio?
 
Yule shujaa binti wa Muheza hayumo?
Somebody Komba......

Anyway nadhani huu Uzi na majina yameletwa Ili kuprove kwamba hao kina Mdee ni replaceable!!

BAWACHA Ina potential wengi sana so hata wakitolewa wasidhani itayumba
 
Huyu Joyce Mukya sijawahi kumuona katika ujenzi wa Chama ila miaka yote anapeta tu, labda kwasababu anampa furaha mwenyekiti wetu basi acha tu aulambe
Huu ni umbea yaani mtoto wa kiume unapiga chabo watu wazima? Kwani mwenye kiti akila hiyo mbunye wewe wewe unawashwa kwenye tundu lipi ktk hayo ulonayo?
 
Kwahiyo Pamella Maasay ataachia kule EALA kwenye 'ulaji' zaidi? Vipi Hadija Mwago, Aliyekuwa Mgombea Ubunge Mbagala? Hii Orodha haiko sawa! Mwandishi ana ajenda zake.

Mkuuu mleta hoja ni β€œramli” zake nawe unaweza kuleta ramli zako tu sio lazima majina yako yawe β€œaccomodated”[emoji4][emoji4]
 
Yule wa Njombe hayupo kale kadada machachari
 
Huu ni uzushi kwa 100%.
Chadema ni chama cha kanuni na taratibu, sio chama cha mihemko.
Chadema ilichasema wazi haiyatambui matokeo yote ya uchaguzi mkuu 2020, haijapeleka jina lolote la viti maalum na imewafukuza uanachama Covid 19.

Nini kitafuata?
Baraza kuu itatupilia mbali rufaa za Covid 19. Na spika na maCCM wenzake wataamua ama wawachinjie baharini hao Covid 19 (ili kuona kama CHADEMA watachukua mkondo mpya kwa kuwa rais ni Samia) au waendelee kuwabeba Covid 19.
Nini CHADEMA watafanya baada ya hapo? Itategemea spika na maCCM watasimamia wapi kwanza.
 
Hao mnaowaita COVID 19 wakienda Act na wakapata platform wana nafasi nzuri zaidi maana ni wazuri kwenye ujengaji wa hoja
 
Kwa hiyo wametambua ushindi sio? πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…