Majina ajira za Ualimu 2014 haya hapa

Majina ajira za Ualimu 2014 haya hapa

Status
Not open for further replies.
Jaman ajira mpya na za zaman kama kuna mtu unamjua aje wilaya ya serenget,shule ya sec serenget niende moro taun au mvomero 0713434286
 
Ebana wakuu tafadhali naomBA kuangaliziwa
RICHARD JOHN
 
Eliyepangwa mkuranga ani PM karibuni sana kwetu mkuranga
 
Ebana wakuu tafadhali naomBA kuangaliziwa
RICHARD JOHN

Linapatikana jina la Richard John Massawe aliyepangiwa Bariadi

10251
RICHARD JOHN MASSAWE
M
1750, MWANZA
SAUT
BAED
HISTORY/KISWAHILI
SIMIYU
BARIADI
 
RICHARD JOHN
MOROGORO T.C
HISTORY &ENGLISH
BOX 53 MLIMBA
Please niangalie hvyo
#DIPLOMA
 
Watumishi wa umma tena maofisa elimu wa ngazi zote cheti, stashahada, na shahada pia ambao ajira zenu zimetangazwa hapa na sasa kila mmoja amefurahi, tukumbushane jambo moja muhimu ni kwamba unapoenda kuripoti hakikisha uko na vyeti vyako vyote vya taaluma yako husika, ikiwezekana fanya lamination, binding huu ni msimu wa mvua karibu kila mikoa mvua za masika zinanyesha, pia uvitunze, usisahau kwenye basi utakalosafiria, ama sivyo utakosa ajira.
 
msaada kwa kujua kuwa hawa wamepangwa wapi LINDA KIWOPE-arusha ttc na Emanuel masawe-northern highland-wote cheti
 
Ahsanten waungwana , what is on just new life, tukatimize wajibu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom