Happy/FurahaNimeona niweke thread tuweke majina ambayo kiuhalisia ni jina moja. .. tofauti ni jinsia Tu ya mtoto anaepewa.. .
Twendeni...
Joseph/Josephine .
Noel / Noela .
Shariff/Shariffa..
Aziz/Aziza
"Ishathibitishwa rasmi kwamba Yanga ni Mume wa Simba" Stamina version...😅Simba/Yanga
Manchester united/ Chelsea
Mfano The Late Hon President Dr Magufuli.Yapo meengiiii sana ambayo hayana counterpart ya kike.
Na Emily Blunt muigizaji wa kike wa Holywood??Emily la kiume, la kike ni Emmy/Emiliana
Kuna mdada anaitwa Winner??Kiswahili ya kiume
English ya kike
Imani= Faith
Tumaini= hope
Ushindi=winner
Baraka =blessings
Bariki =bless
Huu ugomvi Sasa Mayala Tena.Mabula/Kabula
Mayala/ Nyanzala
Chadema =MagaidiCCM = ACT
Chadema =Magaidi
Kwa ugaidi wa chadema
Alexander/ AlexandriaAlex/Alex
Wewe nakuweka kwa ignore list Tu makalio weweKwa ugaidi wa chadema
Augustino sio AugustinaAugustina wapo wanaume ..
Francis -fransiska
Hapo kwa Messi umetupigaOnest/onesta
Victor/vicky
Azizi/Aziza
Juma/mwajuma
Hamisi/mwanahamisi
Ally/Allice,Allina
Fredy/frida
Aishi/aisha
Messi/mercy
Petro/Petronella
Philip/philomena,philipina
Ndio hivyo mkuuHapo kwa Messi umetupiga
Duuuhh😃😃Selina hahaha 🤣 🤣