Majina ambayo ni moja ...yanatofautishwa na jinsia za watoto...tuweke list

Majina ambayo ni moja ...yanatofautishwa na jinsia za watoto...tuweke list

wapumbavu wekeni na majina yenu ya kibantu. au munaogopa mizimu?
 
Onest/onesta
Victor/vicky
Azizi/Aziza
Juma/mwajuma
Hamisi/mwanahamisi
Ally/Allice,Allina
Fredy/frida
Aishi/aisha
Messi/mercy
Petro/Petronella
Philip/philomena,philipina
 
Kabisaaa...mie siwezi wapa cheti cha kuzaliwa. Huo ni ukatili kwa mtoto.
Wewe kama u got problem na bby daddy au mama usilete chuki zako kwa mtoto.

Msave bby daddy au mama hayo majina kwenye simu yako
Baby lishachakachuliwa kitambo, Dume la miaka 60 na midevu kama Boko Haram linaitwa Baby na Ke 22yrs nalo bila aibu linaitika 🤔🤷

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Yaani 🤣🤣🤣
Nikisikia mtoto ana jina la ajabu roho hua inaniuma sana kwakweli
Majina mengine huumba Ke kuwa Pisi la nguvu kama Rosemary, Irene, Mariam, Rahma, sasa kutana na akina Juniors...🙌🤭

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Back
Top Bottom