Majina ambayo ni moja ...yanatofautishwa na jinsia za watoto...tuweke list

Majina ambayo ni moja ...yanatofautishwa na jinsia za watoto...tuweke list

Kila jina la kiume duniani lina counterpart yake ya kike. Majina machache sana yasiyokua na jina lake la kike
Sawa. Baadhi ya majina ya kiume yasiyokuwa na counterpart yake ya kike:-
Ayubu
Omari
Zuberi
Peter
Na majina ya kike yasiyo na cpt ya kiume:
Maimuna
Angela
Ashura
Doris
Suzana
Anita
 
Sawa. Baadhi ya majina ya kiume yasiyokuwa na counterpart yake ya kike:-
Ayubu
Omari
Zuberi
Peter
Na majina ya kike yasiyo na cpt ya kiume:
Maimuna
Angela
Ashura
Doris
Suzana
Anita
Angelo wa kiume
 
Nimeona niweke thread tuweke majina ambayo kiuhalisia ni jina moja. .. tofauti ni jinsia Tu ya mtoto anaepewa.. .

Twendeni...

Joseph/Josephine .
Noel / Noela .
Shariff/Shariffa..
Aziz/Aziza
Hamid/ hamida
 
Ila sie wabongo wauuzi sana...kwa nini tunawapa watoto wetu majina ya kizungu?
 
Ila sie wabongo wauuzi sana...kwa nini tunawapa watoto wetu majina ya kizungu?
Hili 👆 👆 👆 is a very good remark.
Hatuna sababu madhubuti za kimsingi ukiacha shinikizo la ki-Imani.
 
Khalida/khalid
ashura/ashraf
Jacline/jackson
Jamila/jamali
Sabra/sabri
Munira/munir
 
Back
Top Bottom