Majina ambayo ni moja ...yanatofautishwa na jinsia za watoto...tuweke list

wapumbavu wekeni na majina yenu ya kibantu. au munaogopa mizimu?
 
Onest/onesta
Victor/vicky
Azizi/Aziza
Juma/mwajuma
Hamisi/mwanahamisi
Ally/Allice,Allina
Fredy/frida
Aishi/aisha
Messi/mercy
Petro/Petronella
Philip/philomena,philipina
 
Uhuni 🀣🀣🀣

Imagine watu wazima na akili zao timamu wanamuita mtoto kipenzi Shida/Matatizo/Havintishi
Hao naona serikali iingilie tu kati
Chausiku hebu taratibu Mama...🀭

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Kabisaaa...mie siwezi wapa cheti cha kuzaliwa. Huo ni ukatili kwa mtoto.
Wewe kama u got problem na bby daddy au mama usilete chuki zako kwa mtoto.

Msave bby daddy au mama hayo majina kwenye simu yako
Baby lishachakachuliwa kitambo, Dume la miaka 60 na midevu kama Boko Haram linaitwa Baby na Ke 22yrs nalo bila aibu linaitika πŸ€”πŸ€·

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Yaani 🀣🀣🀣
Nikisikia mtoto ana jina la ajabu roho hua inaniuma sana kwakweli
Majina mengine huumba Ke kuwa Pisi la nguvu kama Rosemary, Irene, Mariam, Rahma, sasa kutana na akina Juniors...πŸ™ŒπŸ€­

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Kumbe basi kama mzabzab tuu halina la kike.

Ila nasikia yanga la kiume la kike lake simba 🀣🀣🀣🀣🀣
Eewaaaa!! Ndio ndio yaani hujakosea hata kidogo Mzab. πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…