Majina gani ya maeneo/mitaa yanayokuvutia

Majina gani ya maeneo/mitaa yanayokuvutia

Mkokotoni,Mchamba wima,Chake chake, Jambiani,Kizimkazi,
Fumba,Namtumbo,
Mbamba bay,Manza bay,Katesh,Gambosh,Bariadi,
NB
Nimefika Forodhani,Bububu na Mangapwani Unguja nilienjoy sana Zenjbar ila Wale jamaa bhana Wanashindia urojo na boflo!
😁😁
 
Pale palikuwa panaitwa "Wales" na Wakoloni.

Waswahiki tukapaita Wailesi.

Kawe kulikuwa kuna njia ya ng'ombe kuwapeleka Tanganyika Packers kuchinjwa, palikuwa panaitwa "Cow Way".

Waswahili tukapaita Kawe.

Kariakoo palikuwa panaitwa Carrier Corps.

Wajerumani walipaita Kisarawe "Bonde la Mfalme", Kaisereue. Wazaramo wakapaita Kisarawe.
 
Back
Top Bottom