Majina gani ya maeneo/mitaa yanayokuvutia

Na shell pia iko pale, afu pale sahivi si kuna mzani, bas malory yanapaki na kulala palee.

Kumechangamka songea balaa, karibu kunyumbaaa.
Ndio maana Songea kuna ukimwi sana, hawa madereva wakiweka kambi sehemu ni shida.

Kule Kitai, Makolo, Paradiso mpaka Ruanda ukimwi ukianza kufumuka itakuwa hatari tupu, migodi ya makaa itawaletea balaa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haswaa kukianza kupukutisha watu ni woteee chwaaaah!!!!
 
Back
Top Bottom