Hilo neno dumla nimelisikia mara ya kwanza songea,nilikuwa sielew wenyeji wakizungumza dumla wanamanisha nnkesho twenzetu sokoni manzese😁tukanunue mahindi dumla 2
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo neno dumla nimelisikia mara ya kwanza songea,nilikuwa sielew wenyeji wakizungumza dumla wanamanisha nnkesho twenzetu sokoni manzese😁tukanunue mahindi dumla 2
Hahahaha mi mwenyewe ivo ivo,, songea nilisikia kwa mara ya kwanzaHilo neno dumla nimelisikia mara ya kwanza songea,nilikuwa sielew wenyeji wakizungumza dumla wanamanisha nn
Ukutane na urusti wa Englibert wa Peramiho, weeeeeeeeeeeeeeeee....!!!Siku hizi wamehamisha machinjoni, yako huko shule ya tanga.
Ubende na urustii. [emoji39][emoji39][emoji39]
Kaigo moja hii..!!! Kuna Namanditi, kuna Nkongutingisa mitaa ya Ruanda..!!Peramiho, Lizaboni, halale......
Kibaba je?Hahahaha mi mwenyewe ivo ivo,, songea nilisikia kwa mara ya kwanza
Ume soma kaigo?Kaigo moja hii..!!! Kuna Namanditi, kuna Nkongutingisa mitaa ya Ruanda..!!
Mibiki mitali na Kiponzero ya huko Iringa (hapa nimelikumbuka basi la WASA).
Umesahau O mojaKwa Morombo.,
Hapana, ila napajua sana, kuna uwanja wa damu. Wakwe wapo pembeni ya shule ya msingi Halale..!! Ila Songea ndo home.Ume so
Ume soma kaigo?
Darpori umenikumbusha machimbo..!!Dar-Pori. Sijui inaandikwa hivyo au Dapori.
Mbambabay, wenyewe wanatamka "mbabay"
HahahahahahahahaHapana, ila napajua sana, kuna uwanja wa damu. Wakwe wapo pembeni ya shule ya msingi Halale..!! Ila Songea ndo home.
Ligwili mtoni pale.Hahahahahahahaha
Ligwili,mchumba,matalawe,liganga,litembo,lipumba etc
MisufiniMatalawe
ItakaVwawa
Msisahau kufika Mlilayoyo na Mateka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sema kweli? Afu tukazurure majengo kulee tukadake mtumba.
Ni Moromboo.Umesahau O moja