Majina gani ya maeneo/mitaa yanayokuvutia

Majina gani ya maeneo/mitaa yanayokuvutia

Oklahoma city - america

California - america

Zanzibar - isles island part of Tanganyika

stone town - Zanzibar

fumba town - Zanzibar

machame - Tanzania

oyster bay - Tanzania

mpumalanga - south Africa
 
Na shell pia iko pale, afu pale sahivi si kuna mzani, bas malory yanapaki na kulala palee.

Kumechangamka songea balaa, karibu kunyumbaaa.
Coca,

Nakumbuka mwaka 2018 nilinunuaga shamba sehemu moja panaitwa mliyayoyo alikuwepo ndugu yangu huko na mara ya mwisho kwenda ni 2019.

Kuna mtaa kila baada ya nyumba mbili au tatu utakuta kuna Banda la nguruwe na nyumba nyingi bado zile za tofali za kuchoma. Watu wanalima sana mahindi na vitunguu.
 
kuna chuo matalawe pale wanajiita songea smart ni tawi la musoma utalii,,, aloooh nilvofka na mwenyeji wangu majengo nikaambiwa nigeuzie bagi kwa mbele[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] majengo kulizwa ni dkk chee tyuuh, hatareeee.
 
Back
Top Bottom