Majina gani ya maeneo/mitaa yanayokuvutia

Ruvuma pengine ndo mkoa wenye majina mengi ya kushangaza
Namtumbo, msamala mpanangindo, mtyangimbole, likuyufusi, making'inda, etc
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] namanyigu, kwa legele, mletele, lumecha.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] karibu tena kwetu Songea, huku tunalima sana Mahindi, maharage, ufuta, mpunga.

Nguruwee ndo mfugo wetu mkuu, kila mtaa bucha la [emoji241]lipoo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mlilayoyo sahivi mashamba yamepanda bei, sio kununua wala kukodi.
 
Majina ya maeneo ya Arusha na Manyara yamekaa poa kuyatamka ila ukifika ndo utastaajabu kukutana na vumbi la poda watu wamepauka kwa baridi, ngozi hazina ushirikiano na meno yaliyoungua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…