GE2025 Majina haya ya Wabunge waliokatwa kwa visasi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Nyie ndio wapuuzi wachache mulioshauri Chadema igomee uchaguzi kwa kuamini serkali itashindwa kufanya uchaguzi kisa Chadema.
Mwisho wasiku mumejificha huku, hamuna cha maana.
Wacha weeeee niko paleeeeee
 
Umesahau kipengele cha kugombea wanaume kimapenzi.
 
Hii nchi ina mambo ya kiqumer sana aisee! Tatizo watanzania ni kama nyumbu. Wanaona nchi inaliwa na JK na Samia kwa kushirikiana fisadi Rostam Aziz, bado wamekaa kimya bila kupaza sauti wala kuchukua hatua madhubuti. MaCCM ni zaidi ya mashetani.
 
Porojo tuu
 
Vipi na wewe muongo mkubwa ni chuki gani unayo kwa ccm?
 
Wamejifanya kukata baadhi ya majina ya watoto wa vigogo kama akina pinda na lowasa ili angalau warudishe imani ionekane sio chama cha kurithishana. Lkn hamna kitu bado wameshindwa kugusa kwenye kiini cha lawama.
 
Hizo Bilioni 700 zitakazotumika kwenye "UCHAFUZI" tungewekeza kwenye Afya halafu SISIEMU wakatumia mifumo yao waliojuinganisha na NEC na NIDA kutoa matokeo bila kuwapotezea watu muda na fedha za sirikali.
 
Ni kama unakuja hivi, yule steven byabato wa bukoba mjini yeye naye ilikuwaje?
 
Kaka mkubwa umetoa mlio.

Au account yako anatumia mtu mwingine.
 
Ila Kikwete Ni mtu mweusi Sana Kama chungu akicheka watu wanadhani Ni mtu kumbe ni shetani mkubwa yule mzee atakufa vibaya Sana.

Kikwete mpaka mtoto wa Lowassa? Mh!!
Kifo chake zitakuwa ni sherehe za kitaifa kuliko za kijimbo kama kwa Job Ndugai.
 
Kwan mabula wa nyamangana wamekula kichwa mkuu?kama hili litakuaa kwel ni furaha kwa wananchi due hakuna alichofanya
Kama hakuna alichofanya kwa nini hawakumchuja mapema?

Iko hivi, kama humtaki mtu kata jina lake mapema kabla hajafika kwenye mchakato wa kupigiwa kura.

Ukishachuja majina maana yake wale wanaorudishwa wote wana sifa na inatakiwa anayeshinda kura ndio ateuliwe na siyo kuleteana porojo nyingine otherwise ccm ifute kura za maoni iteuwe yenyewe wagombea.
 
Mbunge wa Kibamba alishindwa kwenye kura za maoni . Tuache porojo zaisizo na maana. Ulitaka alieshindwa ndo ateuliwe?
Huyo wa Kibamba ndiyo usiseme kabisa. Wapiga kura wa Kibamba hawana hamu naye na asingepita kabisaaaa
 
Longolongo nyingi bila takwimu ni sawa na kelele tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…