Majina haya yanatoweka kwa kasi katika Jamii

Majina haya yanatoweka kwa kasi katika Jamii

Dan Zwangendaba

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2014
Posts
5,814
Reaction score
8,118
1. Sikudhani
2. Mwamvita
3. Chiku
4. Mwadhani
5. Sipati
6. Jualako
7. Ubaya
8. Havijawa
9. Havintishi
10. Hakai
11. Hazimala
12. Msichoke
13. Ongeza yako
Siku hizi mitaani kuna majina ya kisasa tu kama Janet, Happy, Ilham,Snura, Barkis, Barke, nk nk. Je ndiyo kuelimika au kuwa wa kisasa zaidi.
 
14. Shida
15. Matokeo
16. Majuto
17. Bahati
18. Tumaini
19. Mawazo
20. Mashaka
21. Baraka
22.

Siku hizi tuna akina ..... Diva, Love, Candy, Moreen, Junior, Jayden, ephen_, 🥵
 
1. Sikudhani
2. Mwamvita
3. Chiku
4. Mwadhani
5. Sipati
6. Jualako
7. Ubaya
8. Havijawa
9. Havintishi
10. Hakai
11. Hazimala
12. Msichoke
13. Ongeza yako
Siku hizi mitaani kuna majina ya kisasa tu kama Janet, Happy, Ilham,Snura, Barkis, Barke, nk nk. Je ndiyo kuelimika au kuwa wa kisasa zaidi.

Mapundaaaaaaaaa
 
☺️Ukipata mtoto wa uzeeni muita ephen
Mimi watoto wangu wote wanaitwa majina ya Kisambaa tu. Na idadi yao ndiyo hii hapa; wa kiume kuna Makange, Mweta, Kiango, Hiza, Hoza, Kihiyo, Mdoe, na Mtoi. Wa kike yupo Mboni, Nemghwa, Kidangu, na Matabu. Jumla wapo 12! 😇

Na mimi baba yao mzazi naitwa Tate Mkuu Shebughe!
 
1. Sikudhani
2. Mwamvita
3. Chiku
4. Mwadhani
5. Sipati
6. Jualako
7. Ubaya
8. Havijawa
9. Havintishi
10. Hakai
11. Hazimala
12. Msichoke
13. Ongeza yako
Siku hizi mitaani kuna majina ya kisasa tu kama Janet, Happy, Ilham,Snura, Barkis, Barke, nk nk. Je ndiyo kuelimika au kuwa wa kisasa zaidi.
Sana, especially sisi Muslims kwa saivi kama huna meno watoto wa watu utaishia kutawaita 'wewe' 😂😂😂, kuna majina mimi mwenyewe nimekuja kuyasikia dada zangu na kaka zangu walivyoanza kupata watoto wao
 
Kuna baadhi ya Majina uliyotaja nayo yamepitwa na wakati mfano kama ya Happy na Janeth.

Ukiachana na hayo ya "waswahili", kuna mengine kama Deborah, Dorah, Neema, Laheri

Nayo yanapotea
 
1. Sikudhani
2. Mwamvita
3. Chiku
4. Mwadhani
5. Sipati
6. Jualako
7. Ubaya
8. Havijawa
9. Havintishi
10. Hakai
11. Hazimala
12. Msichoke
13. Ongeza yako
Siku hizi mitaani kuna majina ya kisasa tu kama Janet, Happy, Ilham,Snura, Barkis, Barke, nk nk. Je ndiyo kuelimika au kuwa wa kisasa zaidi.
😂😂😂
 
Back
Top Bottom