Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha,, mi mwenyewe nilsoma naeVumilia bwana , longtime aisee huyu mdada tulisoma nae.
Shida na semeni nawajuaMajuto
Matatizo
Shida
Galula (yamekua machungu)
Semeni
Sikitu
Sikujua
Chuki
Uamuzi
Haki
Tupa tupa
Matokeo
Nuru na mdogo wangu furaha.Mawazo
Nuru
Thabiti
Tola
Taratibu
Fanikio
Furaha
Chai....Kuna huyu mzee Anato mwanae akampa jina la Mbwaga.
Shida ilikuja pale alipompeleka mwanae shule aisee muunganiko wake walimu wakamwambia mzee wa watu hana akili.
Sijui walipata jina gani walipounganisha.
Nitajie jina baya kati ya haya:Kwanini umpe mwanao jina baya.....😏
Nilisoma na mtu anaitwa Nsengiyumva Magogwa1.Sengiyumva Bugaigai
2.Balengagabo Bale
3.Lindalisebe Mpemba
4.Ngayalina (Nameless) Mayala
5.Mwakifulefule Atufigwege
6.Mbamba Uswege
7.Taji Liundi
Inakera sana siku hizi unakuta mtu ana majina ya kigeni tupu bila la asili,kama:
1.James Alain Philipo John
2.Suleiman Rashid Juma (Tena Zanzibar ndo wamezidi).
Yaani mtu hata huwezi jua huyu mtu ni kabila gani au ukoo gani. Hovyo sana!
Haya majina yote ya Kizaramo! kati ya hayo namba 2,4,6,12 yapo kwa dada zangu na binamu zangu!1. Sikudhani
2. Mwamvita
3. Chiku
4. Mwadhani
5. Sipati
6. Jualako
7. Ubaya
8. Havijawa
9. Havintishi
10. Hakai
11. Hazimala
12. Msichoke
13. Ongeza yako
Siku hizi mitaani kuna majina ya kisasa tu kama Janet, Happy, Ilham,Snura, Barkis, Barke, nk nk. Je ndiyo kuelimika au kuwa wa kisasa zaidi.
Mohammed kwa kuwa mashoga wengi uitwa jina hilo as Aunty Muddy1. Sikudhani
2. Mwamvita
3. Chiku
4. Mwadhani
5. Sipati
6. Jualako
7. Ubaya
8. Havijawa
9. Havintishi
10. Hakai
11. Hazimala
12. Msichoke
13. Ongeza yako
Siku hizi mitaani kuna majina ya kisasa tu kama Janet, Happy, Ilham,Snura, Barkis, Barke, nk nk. Je ndiyo kuelimika au kuwa wa kisasa zaidi.
Chai....
Mwalimu anamuuliza Mwanafunzi: "unaitwa nani"
Mwanafunzi: "naitwa Nato"
Mwalimu akauliza Tena: "baba yako anaitwa nani?"
Mwanafunzi: "baba anaitwa Mbwaga"
Mwalimu alipounganisha jina la Mwanafunzi na la baba yake, alibaki ameduwaaa na kushindwa jinsi ya kulitamka mbele ya hadhara.
Naona mengi ni ya wazaramo tu1. Sikudhani
2. Mwamvita
3. Chiku
4. Mwadhani
5. Sipati
6. Jualako
7. Ubaya
8. Havijawa
9. Havintishi
10. Hakai
11. Hazimala
12. Msichoke
13. Ongeza yako
Siku hizi mitaani kuna majina ya kisasa tu kama Janet, Happy, Ilham,Snura, Barkis, Barke, nk nk. Je ndiyo kuelimika au kuwa wa kisasa zaidi.