Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,814
- 8,118
14. Shida1. Sikudhani
2. Mwamvita
3. Chiku
4. Mwadhani
5. Sipati
6. Jualako
7. Ubaya
8. Havijawa
9. Havintishi
10. Hakai
11. Hazimala
12. Msichoke
13. Ongeza yako
Siku hizi mitaani kuna majina ya kisasa tu kama Janet, Happy, Ilham,Snura, Barkis, Barke, nk nk. Je ndiyo kuelimika au kuwa wa kisasa zaidi.
Sikujua14. Shida
15. Matokeo
16. Majuto
17. Bahati
18. Tumaini
19. Mawazo
20. Mashaka
21. Baraka
22.
Siku hizi tuna akina ..... Diva, Love, Candy, Moreen, Junior, Jayden, ephen_, π₯΅
π€£πKuna dada huyu mtaani anaitwa Nchokonoe Bazoka
Janet
Haya yote ya kozamani, hata Snura naloHappy
1. Sikudhani
2. Mwamvita
3. Chiku
4. Mwadhani
5. Sipati
6. Jualako
7. Ubaya
8. Havijawa
9. Havintishi
10. Hakai
11. Hazimala
12. Msichoke
13. Ongeza yako
Siku hizi mitaani kuna majina ya kisasa tu kama Janet, Happy, Ilham,Snura, Barkis, Barke, nk nk. Je ndiyo kuelimika au kuwa wa kisasa zaidi.
Mimi watoto wangu wote wanaitwa majina ya Kisambaa tu. Na idadi yao ndiyo hii hapa; wa kiume kuna Makange, Mweta, Kiango, Hiza, Hoza, Kihiyo, Mdoe, na Mtoi. Wa kike yupo Mboni, Nemghwa, Kidangu, na Matabu. Jumla wapo 12! πβΊοΈUkipata mtoto wa uzeeni muita ephen
Sana, especially sisi Muslims kwa saivi kama huna meno watoto wa watu utaishia kutawaita 'wewe' πππ, kuna majina mimi mwenyewe nimekuja kuyasikia dada zangu na kaka zangu walivyoanza kupata watoto wao1. Sikudhani
2. Mwamvita
3. Chiku
4. Mwadhani
5. Sipati
6. Jualako
7. Ubaya
8. Havijawa
9. Havintishi
10. Hakai
11. Hazimala
12. Msichoke
13. Ongeza yako
Siku hizi mitaani kuna majina ya kisasa tu kama Janet, Happy, Ilham,Snura, Barkis, Barke, nk nk. Je ndiyo kuelimika au kuwa wa kisasa zaidi.
Mkuu samahani,,hayo ni majina?Mimi watoto wangu wote wanaitwa majina ya Kisambaa tu. Na idadi yao ndiyo hii hapa; kiume kuna Makange, Mweta, Kiango, Hiza, Hoza, Kihiyo, Mdoe, na Mtoi. Wa kike yupo Mboni, Nemghwa, Kidangu, na Matabu.
Na mimi baba yao mzazi naitwa Tate Mkuu Shebughe!
Weeeee nmeona jina langu hapo ππsio poa aseeeKuna baadhi ya Majina uliyotaja nayo yamepitwa na wakati mfano kama ya Happy na Janeth.
Ukiachana na hayo ya "waswahili", kuna mengine kama Deborah, Dorah, Neema, Laheri
Nayo yanapotea
πππ1. Sikudhani