Majina haya yanatoweka kwa kasi katika Jamii

Tangu mikorogo, mawigi, kucha za bandia, nyusi za bandia, ma wawowo ya mturuki yaingie bongo nani anayataka tena hayo majina?
 
Majuto
Matatizo
Shida
Galula (yamekua machungu)
Semeni
Sikitu
Sikujua
Chuki
Uamuzi
Haki
Tupa tupa
Matokeo
 
Majina ya kiswahili mazuri bwana,
Nimemkumbuka sikudhani,mwamvita, havijawa, kuna kidawa, kashinde, mwamboni, mwanahamisi, mwanaidi,tatu pili.
 
9. Havintishi
Mara ya kwanza nakutana na hili jina, alikuwa dada mmoja tulikuwa tunasoma darasa moja. Sasa siku nilikuwa naandika majina, alivyonitajia nikajiuliza hivi linaandikwaje, maana dem mwenyewe alikuwa anajifanya anajua sana english "havi-nti-sh". nikamwambia andika mwenyewe. Alivyoandika ilibidi nicheke tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…