Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,677
Hahahaaa.. Hiyo Nyamiela nimeikubali..Don, Wakishua, Maisha Safi, Mboga kumi... ya kumi na moja chill sauce, Good Life no stress, Tembo,Kibosile mapesa, Maisha Uhakika, Papaa, Nyamiela. mkuu narudi... Kumalizia majina mengine
Hiyo Kirenga pia tamu kinoma.. Au wanaifupishaga .. Inakuwa. RENGATaita
Boss kubwa
Meli
Kibopa
Kirenga
Kibosile
Baadhi yanaweza kuwa old school kwa vijana wadigo..[emoji3]
Ila wakishua naona ipo sana kuonesha mtoto ambaye kazaliwa kwenye maisha safiDon, Wakishua, Maisha Safi, Mboga kumi... ya kumi na moja chill sauce, Good Life no stress, Tembo,Kibosile mapesa, Maisha Uhakika, Papaa, Nyamiela. mkuu narudi... Kumalizia majina mengine
Hahaha, karibu mkuuHahahaaa.. Hiyo Nyamiela nimeikubali..