LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Haya ni majina ya koo za kibantu ambayo kiasili ni majina ya kiume lakini kwa namna ya kipekee kabisa yamebadilika sura na sasa yanaonekana kama majina ya kike .
1. Uwoya. Chanzo Irene Uwoya..
2. Sepetu : Chanzo Wema Sepetu
3. Mobeto : Chanzo Hamissa Mobetto...
1. Uwoya. Chanzo Irene Uwoya..
2. Sepetu : Chanzo Wema Sepetu
3. Mobeto : Chanzo Hamissa Mobetto...