Majina matatu ya kiume yaliyobadilika na kuwa ya kike

Majina matatu ya kiume yaliyobadilika na kuwa ya kike

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Haya ni majina ya koo za kibantu ambayo kiasili ni majina ya kiume lakini kwa namna ya kipekee kabisa yamebadilika sura na sasa yanaonekana kama majina ya kike .

1. Uwoya. Chanzo Irene Uwoya..


2. Sepetu : Chanzo Wema Sepetu

3. Mobeto : Chanzo Hamissa Mobetto...
 
Huyo sepetu watoto wa Dar wanamuita Sepanga.
 
Back
Top Bottom