Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaha, yaani wewe unavizia avue?? utasubiri sana.:becky:akiivua tu naichana na mkasi
''Ulizani rafiki yako kumbe adui yako.''Duhh wanaume tuna kazi!
''Ulizani rafiki yako kumbe adui yako.''Duhh wanaume tuna kazi!
MMmmmh huyo atakuwa mwanamke wa Mwananyamala!!! Maana hao kwa misemo ni balaa!!
sikiliza hapo kwenye dakika ya 6:42
Nalog off
bora ufanye hivyo ili usikie kila neno.Hahaha ngoja niweke vizuri antena naona chengachenga. duuuu