Majina, misemo na maneno kwenye khanga

Majina, misemo na maneno kwenye khanga

maneno kwenye kanga huku bara

1. Kelele kelele za nini, kama mna jeuri ondokeni
2. Baniani mbaya kiatu chake dawa.
3. Vunjeni msambe, hamtofika hata Chumbe
4. Ahmada alishalewa, somo lenu hajaelewa
5. Muungano muungano, tushayachoka yenu maneno
6. Amshaneni sana, tutawalaza kiaina
7. Wote wapo macho kodo, sasa wamwamsha nani?
8. Endeleeni vivyo hivyo, mtaokota dodo kwenye mbuyu
9. Kama jeuri mnayo, acheni kwanza kazi kwenye muungano
10. Mtasema mchana, usiku mtalala

Alaaah! Wanafikiri sisi ndo hatujui kuandika maneno ya kwenye kanga?
 
1. Ng'ang'ani ng'ang'ani za nini, Zanzibar kunani?
2. Mtuache tumupumuwe, yetu tujitawalie.
3. Moto mmeshauwasha kuuzima mtashindwa.
4. Kazi tutaziacha, muungano tukiuvunja.
5. Hata mkitubeza, wenyewe tunajiweza.
 
Nilipokuwa tanga likizo niliona kanga imeandikwa ..

"Tamu kuramba Tamu kunusa..?"

Ni sentensi imeacha maswali kichwani hadi hii leo
 
Nilipokuwa tanga likizo niliona kanga imeandikwa ..

"Tamu kuramba Tamu kunusa..?"

Ni sentensi imeacha maswali kichwani hadi hii leo

halafu si ilikuwa imeandikwa nyuma katikatikati kabisaa mwa kanga ehee??

SASA MASWALI GANI UMEBAKI NAYO WAKATI NI NENO LAKAWAIDA KABISA KULE TANGA
 
majina ya kinga zitazogawiwa na cmm uchaguzi ujajo! 1. Tumezoea vitamu tutahalalisha hata haramu! 2.ukimcheka jakaya mwenzako hana haya! 3. Ufisadi jadi yetu uadilifu sio haki kwetu!
 
hivi kwa wale wanaume wanaosafiri mara kwa mara ukirudi nyumbani ukamkuta mkeo kajifunga kanga imeandikwa maneno haya ''heri nimpe jirani kuliko kiozee ndani'' ungechukua hatua gani?
 
lol.. kuanzia hapo nitakila kwa staili ya kukomoa mpaka achome moto hizo kanga.
 
Aaa kumbe ni ma-andishi ya kanga tu , sa nijikere kwa kitu gani nampa pesa zingine aongeze kanga.
 
hivi kwa wale wanaume wanaosafiri mara kwa mara ukirudi nyumbani ukamkuta mkeo kajifunga kanga imeandikwa maneno haya ''heri nimpe jirani kuliko kiozee ndani'' ungechukua hatua gani?
Naenda kumtafutia jirani kanga iliyoandikwa "Mimi sili vilivyooza"
 
hahahahaha! shauri zako, (dont try this at home)

Jiranii jirani yangu eeh nimekukosea nini......
kila ninachokuomba jirani eeeh mwenzangu wanikataliaaa, sasa nikueleweje jirani eeh sasa nikueleweje mwenzangu eeh...
mimi na wewe ni kitu kimoja..........!!!!
mpende jirani bana.
 
huo wimbo pia ni wakupiga marufuku kabisa, hehehehehehehe
 
Nampa dozi asubuhi mpaka asubuhi hadi amsahau huyo jirani. Na siku ya tatu lazima anaanze kutapika na kuchagua vyakula
 
Back
Top Bottom