Tuyuku
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 3,292
- 1,927
maneno kwenye kanga huku bara
1. Kelele kelele za nini, kama mna jeuri ondokeni
2. Baniani mbaya kiatu chake dawa.
3. Vunjeni msambe, hamtofika hata Chumbe
4. Ahmada alishalewa, somo lenu hajaelewa
5. Muungano muungano, tushayachoka yenu maneno
6. Amshaneni sana, tutawalaza kiaina
7. Wote wapo macho kodo, sasa wamwamsha nani?
8. Endeleeni vivyo hivyo, mtaokota dodo kwenye mbuyu
9. Kama jeuri mnayo, acheni kwanza kazi kwenye muungano
10. Mtasema mchana, usiku mtalala
Alaaah! Wanafikiri sisi ndo hatujui kuandika maneno ya kwenye kanga?