Majina, misemo na maneno kwenye khanga

Jamaa kagombana na mkewe,akasusa kula,kurudi kazini kamkuta mkewe kavaa kanga imeandikwa"Ukisusa wenzio wala"ilipofika usiku mke kachukua karata aina ya"mzungu wa n4"ilipofika asubui mke kavaa kanga imeandikwa"ukitoka mwenzio anaingia"Jamaa akagoma kwenda kazini.Mke akavaa kanga imeandikwa"amniwezi nimemzibiti ndiomaana atoki"Jamaa akaenda kuomba ushauri kwa rafiki yake akamwambia twende nyumbani.Walipofika nyumbani wamemkuta mke kavaa kanga imeandikwa"ulizani rafiki yako kumbe adui yako"Kwa kumalizia mke akasema"shemeji utaendelea kula kaka yako kasusa" stori itaendelea stay tuned!
 
sikiliza hapo kwenye dakika ya 6:42
Nalog off
 
Last edited by a moderator:
''Ulidhani rafiki yako kumbe adui yako.''Duhh wanaume tuna kazi!
 
MMmmmh huyo atakuwa mwanamke wa Mwananyamala!!! Maana hao kwa misemo ni balaa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…