Majina, misemo na maneno kwenye khanga

kuna mwengine alimuacha mke karudi kuotoka safari kamkuta mkewe kavyaa kangaa imeandikwa :KWANINI VIOZE WAKATE JIRANI YUPO....
 
tupia maneno, misemo na majina kwenye khanga yaliyowahi kukufurahisha, kukuudhi au kukukera, yenye ujumbe mzuri au mbaya
 
Hii thread ilishaletwa siku nyingi Itafute ujipatie burudan ya bure. Ila uwe makini usijeanza umbea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…